Watanzania wenzangu sasa ni wakati wa kuwa makini na wanasiasa wanafiki, waongo na wanaotumika kucheza na akili zetu kama huyu

Watanzania wenzangu sasa ni wakati wa kuwa makini na wanasiasa wanafiki, waongo na wanaotumika kucheza na akili zetu kama huyu

Alizoea kuwaomba Chadema kushirikiana nao sasa safari hii kaamua kwenda mwenyewe imemlazimu kutumia kisingizio kipya.

Usimuamini mwanasiasa - ZZK.
 
Wewe unaeshabikia CCM una tofauti gani na huyo Zitto?

We mwenyewe mara uilalamikie CCM mara uwapigie debe yaani hujui unachokita au kukipigania hivyo huna tofauti na wapinzani feki aina ya Zitto.

Nyiny ndio mnachangia kuibeba CCM.
Kwani kuwa tu mwana CCM ni Criminal?
 
Alizoea kuwaomba Chadema kushirikiana nao sasa safari hii kaamua kwenda mwenyewe imemlazimu kutumia kisingizio kipya.

Usimuamini mwanasiasa - ZZK.
Anawaaibisha mno tu Watani zangu KG.
 
Back
Top Bottom