GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 May 17, 2021 Thread starter #21 Mshana Jr said: Leo Asubuhi aliitangazia dunia amegundua Kura feki na maisha yaka yako hatarini, Jioni anaipongeza CCM. Siku zote yeye anafanya vitu kinyume. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... He's a typical Political Pimp and Moron.
Mshana Jr said: Leo Asubuhi aliitangazia dunia amegundua Kura feki na maisha yaka yako hatarini, Jioni anaipongeza CCM. Siku zote yeye anafanya vitu kinyume. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... He's a typical Political Pimp and Moron.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 May 17, 2021 Thread starter #22 jamvimoto said: Asubuhi alibi jioni akapigiwa avuta chake yuko kwenye business huyo Click to expand... Ndiyo maana sijawahi hata Kumkubali.
jamvimoto said: Asubuhi alibi jioni akapigiwa avuta chake yuko kwenye business huyo Click to expand... Ndiyo maana sijawahi hata Kumkubali.
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 May 17, 2021 #23 Alizoea kuwaomba Chadema kushirikiana nao sasa safari hii kaamua kwenda mwenyewe imemlazimu kutumia kisingizio kipya. Usimuamini mwanasiasa - ZZK.
Alizoea kuwaomba Chadema kushirikiana nao sasa safari hii kaamua kwenda mwenyewe imemlazimu kutumia kisingizio kipya. Usimuamini mwanasiasa - ZZK.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 May 17, 2021 Thread starter #24 tindo said: Mkuu umesahau kuwa atarusha chopa kwenye mikutano ya mwisho, ghafla chopa imepata hitilafu! Click to expand... Na kuna Wapuuzi wanamuamini mno tu.
tindo said: Mkuu umesahau kuwa atarusha chopa kwenye mikutano ya mwisho, ghafla chopa imepata hitilafu! Click to expand... Na kuna Wapuuzi wanamuamini mno tu.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 May 17, 2021 Thread starter #25 Salary Slip said: Wewe unaeshabikia CCM una tofauti gani na huyo Zitto? We mwenyewe mara uilalamikie CCM mara uwapigie debe yaani hujui unachokita au kukipigania hivyo huna tofauti na wapinzani feki aina ya Zitto. Nyiny ndio mnachangia kuibeba CCM. Click to expand... Kwani kuwa tu mwana CCM ni Criminal?
Salary Slip said: Wewe unaeshabikia CCM una tofauti gani na huyo Zitto? We mwenyewe mara uilalamikie CCM mara uwapigie debe yaani hujui unachokita au kukipigania hivyo huna tofauti na wapinzani feki aina ya Zitto. Nyiny ndio mnachangia kuibeba CCM. Click to expand... Kwani kuwa tu mwana CCM ni Criminal?
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 May 17, 2021 Thread starter #26 denooJ said: Alizoea kuwaomba Chadema kushirikiana nao sasa safari hii kaamua kwenda mwenyewe imemlazimu kutumia kisingizio kipya. Usimuamini mwanasiasa - ZZK. Click to expand... Anawaaibisha mno tu Watani zangu KG.
denooJ said: Alizoea kuwaomba Chadema kushirikiana nao sasa safari hii kaamua kwenda mwenyewe imemlazimu kutumia kisingizio kipya. Usimuamini mwanasiasa - ZZK. Click to expand... Anawaaibisha mno tu Watani zangu KG.
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 May 17, 2021 #27 GENTAMYCINE said: Kwani kuwa tu mwana CCM ni Criminal? Click to expand... Na Zitto atahoji kuwa mwana-ACT na kukubali matokeo ni criminal?
GENTAMYCINE said: Kwani kuwa tu mwana CCM ni Criminal? Click to expand... Na Zitto atahoji kuwa mwana-ACT na kukubali matokeo ni criminal?
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 May 17, 2021 Thread starter #28 Salary Slip said: Na Zitto atahoji kuwa mwana-ACT na kukubali matokeo ni criminal? Click to expand... Katika Uzi huu ametajwa huyu Mnafiki?
Salary Slip said: Na Zitto atahoji kuwa mwana-ACT na kukubali matokeo ni criminal? Click to expand... Katika Uzi huu ametajwa huyu Mnafiki?