Watanzania wote tuachaneni na mwandishi huyu Mghana

Sasa si uende kwa huyo Kohler,,, Uto kweli wenye akili wawili tu
Mie niliacha kuwashangaa nikukumbuka like goli la Aziz lilivyokataliwa SA. Jinsi walivyopaniki Hadi kumtukana refa kwenye mitandao unajua hii timu bado. Inaabisha Sana🏃🏃
 
I salute you kinsmen

Wakuu nadhani wote mnajua kutokana Ghana la michezo bwana micky JNR.

huyu bwana tunajua wazi yupo kwenye payroll hasa kwenye team za kiarabu ikiwemo ahly ahly ya Egypt pia wydad na hapa East Africa ikiwemo team ya hovyo simba ambayo wote tunajua ni demu tu wa yanga anajipigia anytime..

Huyu mwandishi amekuwa akiweka chuki zake za wazi kwa yanga bila sababu za kueleweka. Tunajua wazi kuwa injinia amekataa kumuweka kwenye payroll na ndio maana kutwa amekuwa akieneza negative pekee kuhusu yanga na positive amekuwa akikausha kimya.

Mifano ipo mingi:

MFANO NAMBA 1
Kuhusu sakata la aziz kipindi kile huyu jamaa alikuwa analeta uchonganishi sana na akatangeneza chat fake kati yake na aziz zikionesha kuwa ki hana furaha na anataka kusepa yanga

Ingawaje aziz alikausha na kukanusha madai hayo vikali kabisa..huyu ni kanjanja.

MFANO NAMBA 2
Kuhusu match za yanga ambazo akishinda huwa haweki update yoyote ila siku wakifungwa tu basi utaona mtiririko wa post kama zote za mafumbo kwa yanga..huu ni upumbavu na unprofessional.

Case study ni ile.game ya majuzi tu hapa ngao ya jamii ambapo simba walikandwa kama kawaida na yanga lakini mghana hakupost chochote ila before match alipost kikosi cha simba pekee na kuuliza watu watabiri simba watashindaje..aibu ikawa kwake.

MFANO NAMBA 3.
Kuhusu sakata la mzize kutakiwa na wydad hapa mghana alipost lakini akamtambulisha mzize kama mchezaji wa taifa stars na kuweka picha akiwa kapiga na stars! Huu sasa ni nini kama sio ujinga?

Kwahiyo stars ndiyo wanamuuza mzize? Hii ni chuki kubwa sana.

Pia kipindi kile kuhusu job ilikuwa hivi hivi

Ila sakata la mghana mwenzie okrah jamaa alilivalia njuga sana na kujifanya anajua taarifa zote kumbe yote anaenda kumuuliza okrah..

Halafu licha ya uchawa wake lakini bado hawamthamini .

Match ile ya AFL simba vs ahly ahly jamaa alipigwa pini hakuingia uwanjani kwa mkapa inasemekana alileta ujuaji sana akadhani bongo kama kwao Ghana, hivyo akasubiri mpaka game imeisha na kwenda vyumba vya kubadlilisha nguo kwenye corridor na kuomba picha na kina el shahat na kina Percy Tau..

Halafu yeye viongozi wa yanga walishamkataa kuwa asiweke habari zao kama anaona analazimishwa lakini chenyewe kimekazania kupost negative pekee .

Niwashauri tu mwandishi mzuri kwa sasa nje ya Tanzania ambaye hamtakiwi kumkosa ni lorenz kohler wa South Africa.. he is a professional..na sio huyu mwizi mghana anayeishi kwa pensions za ahly ahly.. simba .

Its Pancho
FUTA neno Watanzania wote. Weka neno mwiko nyuma wote pumbaf wewe
 
Kwa hiyo unataka na sisi ambao yupo kwenye payrol yetu kama ulivyodai tumsusie hivi wewe ni mzima kichwani?
 
Jamaa ataendelea kushine nyinyi na roho mbaya zenu hamtapata chochote, kwasabau mmejaa roho za kichawi na ushamba. Hii dunia kila mtu anahaki ya kufanya atakacho.
 
Punguza kisukari hicho kitakumaliza mapema kama unadili na mambo madogomadogo kama hayo
 
I salute you kinsmen

Wakuu nadhani wote mnajua kutokana Ghana la michezo bwana micky JNR.

huyu bwana tunajua wazi yupo kwenye payroll hasa kwenye team za kiarabu ikiwemo ahly ahly ya Egypt pia wydad na hapa East Africa ikiwemo team ya hovyo simba ambayo wote tunajua ni demu tu wa yanga anajipigia anytime..

Huyu mwandishi amekuwa akiweka chuki zake za wazi kwa yanga bila sababu za kueleweka. Tunajua wazi kuwa injinia amekataa kumuweka kwenye payroll na ndio maana kutwa amekuwa akieneza negative pekee kuhusu yanga na positive amekuwa akikausha kimya.

Mifano ipo mingi:

MFANO NAMBA 1
Kuhusu sakata la aziz kipindi kile huyu jamaa alikuwa analeta uchonganishi sana na akatangeneza chat fake kati yake na aziz zikionesha kuwa ki hana furaha na anataka kusepa yanga

Ingawaje aziz alikausha na kukanusha madai hayo vikali kabisa..huyu ni kanjanja.

MFANO NAMBA 2
Kuhusu match za yanga ambazo akishinda huwa haweki update yoyote ila siku wakifungwa tu basi utaona mtiririko wa post kama zote za mafumbo kwa yanga..huu ni upumbavu na unprofessional.

Case study ni ile.game ya majuzi tu hapa ngao ya jamii ambapo simba walikandwa kama kawaida na yanga lakini mghana hakupost chochote ila before match alipost kikosi cha simba pekee na kuuliza watu watabiri simba watashindaje..aibu ikawa kwake.

MFANO NAMBA 3.
Kuhusu sakata la mzize kutakiwa na wydad hapa mghana alipost lakini akamtambulisha mzize kama mchezaji wa taifa stars na kuweka picha akiwa kapiga na stars! Huu sasa ni nini kama sio ujinga?

Kwahiyo stars ndiyo wanamuuza mzize? Hii ni chuki kubwa sana.

Pia kipindi kile kuhusu job ilikuwa hivi hivi

Ila sakata la mghana mwenzie okrah jamaa alilivalia njuga sana na kujifanya anajua taarifa zote kumbe yote anaenda kumuuliza okrah..

Halafu licha ya uchawa wake lakini bado hawamthamini .

Match ile ya AFL simba vs ahly ahly jamaa alipigwa pini hakuingia uwanjani kwa mkapa inasemekana alileta ujuaji sana akadhani bongo kama kwao Ghana, hivyo akasubiri mpaka game imeisha na kwenda vyumba vya kubadlilisha nguo kwenye corridor na kuomba picha na kina el shahat na kina Percy Tau..

Halafu yeye viongozi wa yanga walishamkataa kuwa asiweke habari zao kama anaona analazimishwa lakini chenyewe kimekazania kupost negative pekee .

Niwashauri tu mwandishi mzuri kwa sasa nje ya Tanzania ambaye hamtakiwi kumkosa ni lorenz kohler wa South Africa.. he is a professional..na sio huyu mwizi mghana anayeishi kwa pensions za ahly ahly.. simba .

Its Pancho
Wewe ni nani hadi unipangia rafiki/adui?!
 
Naona Crown FM nao wameingia kwenye mkondo huo. Niliwapenda sana walipoanza ila sasa kuna huyu jamaa anitawa Mkai, Jeff leah na Jemedari walipoingia kwenye mkondo huo wakaivuruga kabisa na kunifanya nikaidharau stesheni ile. Kwa sasa hivi pale ninaangalia Kasri la Kikeke tu; Kikeke nidie anayeweka uhai pale kwa mahojiano yake yaliyoshiba.
 
I salute you kinsmen

Wakuu nadhani wote mnajua kutokana Ghana la michezo bwana micky JNR.

huyu bwana tunajua wazi yupo kwenye payroll hasa kwenye team za kiarabu ikiwemo ahly ahly ya Egypt pia wydad na hapa East Africa ikiwemo team ya hovyo simba ambayo wote tunajua ni demu tu wa yanga anajipigia anytime..

Huyu mwandishi amekuwa akiweka chuki zake za wazi kwa yanga bila sababu za kueleweka. Tunajua wazi kuwa injinia amekataa kumuweka kwenye payroll na ndio maana kutwa amekuwa akieneza negative pekee kuhusu yanga na positive amekuwa akikausha kimya.

Mifano ipo mingi:

MFANO NAMBA 1
Kuhusu sakata la aziz kipindi kile huyu jamaa alikuwa analeta uchonganishi sana na akatangeneza chat fake kati yake na aziz zikionesha kuwa ki hana furaha na anataka kusepa yanga

Ingawaje aziz alikausha na kukanusha madai hayo vikali kabisa..huyu ni kanjanja.

MFANO NAMBA 2
Kuhusu match za yanga ambazo akishinda huwa haweki update yoyote ila siku wakifungwa tu basi utaona mtiririko wa post kama zote za mafumbo kwa yanga..huu ni upumbavu na unprofessional.

Case study ni ile.game ya majuzi tu hapa ngao ya jamii ambapo simba walikandwa kama kawaida na yanga lakini mghana hakupost chochote ila before match alipost kikosi cha simba pekee na kuuliza watu watabiri simba watashindaje..aibu ikawa kwake.

MFANO NAMBA 3.
Kuhusu sakata la mzize kutakiwa na wydad hapa mghana alipost lakini akamtambulisha mzize kama mchezaji wa taifa stars na kuweka picha akiwa kapiga na stars! Huu sasa ni nini kama sio ujinga?

Kwahiyo stars ndiyo wanamuuza mzize? Hii ni chuki kubwa sana.

Pia kipindi kile kuhusu job ilikuwa hivi hivi

Ila sakata la mghana mwenzie okrah jamaa alilivalia njuga sana na kujifanya anajua taarifa zote kumbe yote anaenda kumuuliza okrah..

Halafu licha ya uchawa wake lakini bado hawamthamini .

Match ile ya AFL simba vs ahly ahly jamaa alipigwa pini hakuingia uwanjani kwa mkapa inasemekana alileta ujuaji sana akadhani bongo kama kwao Ghana, hivyo akasubiri mpaka game imeisha na kwenda vyumba vya kubadlilisha nguo kwenye corridor na kuomba picha na kina el shahat na kina Percy Tau..

Halafu yeye viongozi wa yanga walishamkataa kuwa asiweke habari zao kama anaona analazimishwa lakini chenyewe kimekazania kupost negative pekee .

Niwashauri tu mwandishi mzuri kwa sasa nje ya Tanzania ambaye hamtakiwi kumkosa ni lorenz kohler wa South Africa.. he is a professional..na sio huyu mwizi mghana anayeishi kwa pensions za ahly ahly.. simba .

Its Pancho
Tanzania ni nchi huru, tusipangiane cha kufanya!
 
Naona Crown FM nao wameingia kwenye mkondo huo. Niliwapenda sana walipoanzanza aila sasa kuna huyu jamaa anitawa Mkai, Jeff leah na Jemedari walipoingia kwenye mkondo huo wakaivuruga kabisa na kunifanya nikaidharau stesheni ile. Kwa sasa hivi pale ninaangalia Kasri la Kikeke tu; Kikekeke nidie anayeweka uhai pale kwa mahojiano yake yaliyoshiba.
Walikosea sana kumleta jemedari na leah
 
Watanzania wa wapi bali sema mashabiki wa UTO ndio achaneni kumfata Micky kwani lazima msome habari zake
Mie hakuna mtu anaenikera kama Maulid Kitenge lakini mbona akiandika habari za Simba kwa mabaya nazisoma na huwezi kumkuta Kitenge anaisema vibaya Yanga huwezi kumfolow mtu na kumpangia cha kuandika
Kama mashabiki wa UTO mnaakili msifate na kusoma habari zake ila kwakuwa mashabiki wengi wa UTO huwa mnawashwawashww that's why bado mnafata Micky na wakati anawasema vibaya
Tukisema mashabiki wa UTO hamnazo tunakosea mtu anawasema bado mnafata
 
Uto mpo kama wtt wadogo tena washamba..mkikosolewa mnaporomosha mitusi kama mahayawani..mnavamia page za watu mnatukana hovyo..
Mfano page ya Masandawane yani mliwatukana kama wao ndo waamuzi...sijui akili zenu zikoje....
Ndo maana wanasema wenye akili ni 2
Huyo mghana haripoti kwa sbb mmemtukana mno..
 
Huyo jamaa kitambo sana nimeshampa tofali, kwa habari za usajili wa uhakika kwa bongo kuna dogo mmoja anaitwa Felix ana habari za uhakika sana kwa Tanzania. Kuna Lorenz Kõhler yeye hafanyi kazi kiushabiki kabisa kuna Saddick Adams kutoka Ghana pia anafanya vizuri kuliko huyo Micky. Micky mtaji wake mkubwa ni wabongo na ndiye wafuasi wake.
Mm namjuaga Sadick na Lorenzo
Huyo mwingine namsikia sikia ila simtambuagi
 
Back
Top Bottom