Le professel
JF-Expert Member
- May 14, 2019
- 636
- 960
So sad, kwake tutarejea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh! inamaana ulitegemea dereva ambebe mama wa mtoto,halafu pikipiki nyingine imbebe mtoto?aiseeIna maana walipanda mshikaki
Any way poleni
Ova
Anataka upate picha halisi ya ajali maana angeweka picha ungeona yote hayo.Kwanini uelezee habari za kupasuka vichwa na kusagika?
Haitoshi tu ukileta taarifa ya ajali?
Kuna haja kubwa sana ya kufunga CCTV nyingi kwenye barabara zote
Jana watu 8 kagera 4 wa familia moja Leo 3 wa familia moja....Mungu tuepushie mbali.