Watatu wa familia moja wafariki kwa kugongwa na gari Arusha wakipeleka mtoto hospitali

Ina maana walipanda mshikaki

Any way poleni

Ova
Duuh! inamaana ulitegemea dereva ambebe mama wa mtoto,halafu pikipiki nyingine imbebe mtoto?aisee
 
Kwanini uelezee habari za kupasuka vichwa na kusagika?
Haitoshi tu ukileta taarifa ya ajali?
 
Jana watu 8 kagera 4 wa familia moja Leo 3 wa familia moja....Mungu tuepushie mbali.
 
taarifa zingine hata sio za kuandika maana sinafanya mtu uwaze mambo mengi ya huzuni huzuni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…