Watatu wahukumiwa kunyongwa kwa mauaji ya Milembe wa GGM

Watatu wahukumiwa kunyongwa kwa mauaji ya Milembe wa GGM

Wahuni wameliwa vichwa mtuhumiwa aamini hiyo hukumu ya kunyongwa hadi kufa ikisomwa na Hakimu...huyo dada alijua analiwa kichwa ikabidi ajifunike bai bui tu..
 
Washtakiwa watatu kati ya wanne walioshtakiwa kwa kosa la mauaji ya Milembe Suleiman (43), aliyekuwa mfanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) wametiwa hatiani na kuhukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa.

Mahakama imetoa adhabu hiyo baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa na upande wa Jamhuri ambao umethibitisha kosa hilo pasipo kuacha shaka.

Hukumu hiyo imetolewa leo Jumanne Agosti 27, 2024 kuanzia saa 3.02 asubuhi hadi saa 5.12 asubuhi na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Geita, Kelvin Mhina.

Soma Pia:
Jaji Mhina aliyesikiliza kesi hiyo amesema kwa mujibu wa ushahidi uliotolewa na upande wa Jamhuri, Mahakama imewatia hatiani washtakiwa wa kwanza hadi wa tatu na kumuachia huru wa nne, Musa Lubingo.

Mama asaini mafaili ili wanyongwe haraka.tatizo viongozi wetu hawasaini cjui wanaogopa nini
 
Safiii sanaa, na hukumu itwkelezwee Wanyongwe hadi kufaaaa
Km mnyongajii hayupo, wanichukue mie, nije nitekeleze hukumu ipasavyo kabisa, na kwa Weledi mkubwaa.

Haya Wajaaa mlosemaa kuwa watuhumiwa watatoka huru, kisa Milembe ni Msagaji, njooni muwasaidie wenzenu kunyongwaaa, mxxxiiieeeeeew.
Et yule demu wake nae yupo hapo kwenye kunyongwa,?
 
Safiii sanaa, na hukumu itwkelezwee Wanyongwe hadi kufaaaa
Km mnyongajii hayupo, wanichukue mie, nije nitekeleze hukumu ipasavyo kabisa, na kwa Weledi mkubwaa.

Haya Wajaaa mlosemaa kuwa watuhumiwa watatoka huru, kisa Milembe ni Msagaji, njooni muwasaidie wenzenu kunyongwaaa, mxxxiiieeeeeew.
Thubutuu,hizo nguvu za kuwanyonga unazitoa wapi!

Chapati tu ya mayai inakushinda kukata ije kuwa ku-press button ya kamba?
 
Halafu binti mdogo tu 30 years unakuwa katili kiasi hicho, bora angeuza papa tu maisha yakaendelea.
Nilisoma gazetini mwenendo washauri...yeye alichoka ndoa akatafuta vijana wamuuwe mume" wake....maelezo Yale yalionuesha ni jinsi gani Binti alikuwa na akili ndogo ya kuandaa mpango huo!
 
Nilisoma gazetini mwenendo washauri...yeye alichoka ndoa akatafuta vijana wamuuwe mume" wake....maelezo Yale yalionuesha ni jinsi gani Binti alikuwa na akili ndogo ya kuandaa mpango huo!
So ni kusema huyo alojufunika hapo kwenye pic ni huyo binti?
 
Back
Top Bottom