Watatu wahukumiwa kunyongwa kwa mauaji ya Milembe wa GGM

Watatu wahukumiwa kunyongwa kwa mauaji ya Milembe wa GGM

Safiii sanaa, na hukumu itwkelezwee Wanyongwe hadi kufaaaa
Km mnyongajii hayupo, wanichukue mie, nije nitekeleze hukumu ipasavyo kabisa, na kwa Weledi mkubwaa.

Haya Wajaaa mlosemaa kuwa watuhumiwa watatoka huru, kisa Milembe ni Msagaji, njooni muwasaidie wenzenu kunyongwaaa, mxxxiiieeeeeew.
mtu hatari sana wewe
 
Uongo mtupu:

Hukumu kesi ya Milembe yaahirishwa tena

Hata Nutshell ya proceedings humo ina contradict.

Pitia ushahidi wote kujua kulikuwa na wizi wa mali kitapeli hapo.
Sure.

Milembe dizain alikuwa mtu wa ndumba sana that's why waliomuuwa wakaja kama waganga,but huyu somebody Maunga mbona alikuwa anajua sana siri zake?na nijuavyo mambo ya kiganga huwa siri kati yangu mimi ninaeenda na mganga tu?
 
Usukumani ni jamii ambayo majority ni wapagani.

Kumbuka ushirikina ni katika mahangaiko mtu anayokuwa nayo kwenye yasiyojulikana.

Wengine kwenye hayo twaenda hadi kwa mwamposa tukifikishwa huko na confidants.

Wajuaje waliomfikisha huko ndiyo waliokuwa wezi wake kitapeli?

Watu kama hao huwachimba victims wao vilivyo kabla ya kuwapiga tukio.

Kumbuka hili ni moja tu, mangapi wanafanikiwa?

La Singida umesikia, jamii hiyo hiyo.
 
Thubutuu,hizo nguvu za kuwanyonga unazitoa wapi!

Chapati tu ya mayai inakushinda kukata ije kuwa ku-press button ya kamba?
Km naweza kumbebaa mtu mzimaa na mikiki mikiki yake ya dkk zaidi ya 40 na akaridhikaa, ndo nishindwee kuvutaa kambaa ya kutenganisha vichwa na viwili wili vya watu?

Wanipee hiyo tender niwashangazeee wajaa, Tena hao watuhumiwa nawataka kwelii kwelii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakumbuka Tanzia yake ilivyoletwa humu kuna watu walifurahi, walitukana, walipongeza, bans zilitembea za kutosha, leo hukumu imetoka wale washangiliaji siwaoni na wachache waliojitokeza wana comment kinyonge sana huku wanatetemeka kwa uoga,

Hakuna aliye juu ya sheria, ukiua na wewe utauliwa tu,

Continue to rest in peace Milembe 🙏 hao washenzi wakija huko wadai roho yako wasikae kwa amani kabisa.
 
Huyo mtoto ni m§£nge bro.

Kisimi akitoe wapi huyo labda pvmbu zigeuke kisimi ila huyu ni hasara kwa wazazi jamii na taifa.
Watu weuweeeeeee!!!!! DJ waleteeeeeeeeee!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakumbuka Tanzia yake ilivyoletwa humu kuna watu walifurahi, walitukana, walipongeza, bans zilitembea za kutosha, leo hukumu imetoka wale washangiliaji siwaoni na wachache waliojitokeza wana comment kinyonge sana huku wanatetemeka kwa uoga,

Hakuna aliye juu ya sheria, ukiua na wewe utauliwa tu,

Continue to rest in peace Milembe [emoji120] hao washenzi wakija huko wadai roho yako wasikae kwa amani kabisa.
Nakaziaaaa hapoooo!!!
 
Nachukizwa na wahuni wanao vyaa kibarakeshee afu ni wahuni.wanafanya tuonekane waslamu watu wa ovyoo...kitambo niliishigi uganda nilienda na kibarakashe bar mziki nilio letewaa....niliomba po
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom