Watatusaidia China, Urusi na Waarabu. Nyie Mabeberu msitutishe

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Wapo China ni Taifa Tajiri sana Duniani, wapo waarabu matajiri sana. Hawa watatusaidia. Sisi ni nchi huru msitupangie maisha nyie Ulaya na Marekani. Kwanza hatutaki misaada yenu.

Tunajiweza na tuna mataifa yanaweza kutusaidia sana. Uarabuni huwa wanatupa tende na halua kila wakati tunapofunga na wanaweza kutusaidia sana tu si lazima mtupe misaada yenu.

Nchi yetu huru msituingilie tunavyoishi na tunavyofanya. Ni mambo yetu hayawahusu hata kidogo. Kwani wameuliwa raia wenu? Hawa si watanzania? Wanawahusu nini?
 
Wakijidanganya hivi tumekwisha. Unaweza waza watakusaidia kumbe wanataka yavurugike wauze silaha zao na muingie mikataba mibovu kwasababu mtakuwa desperate. Matajiri wa dunia hii wanawaza fursa na vizazi vyao mika 100 ijayo. Libya iko wapi? Shamba la bibi. Mungu aepushe aina hii ya mawazo kwa wenye mamlaka.
 
Wapo China ni Taifa Tajiri sana Duniani, wapo waarabu matajiri sana. Hawa watatusaidia. Sisi ni nchi huru msitupangie maisha nyie Ulaya na Marekani. Kwanza hatutaki misaada yenu.

Tunajiweza na tuna mataifa yanaweza kutusaidia sana. Uarabuni huwa wanatupa tende na halua kila wakati tunapofunga na wanaweza kutusaidia sana tu si lazima mtupe misaada yenu.

Nchi yetu huru msituingilie tunavyoishi na tunavyofanya. Ni mambo yetu hayawahusu hata kidogo. Kwani wameuliwa raia wenu? Hawa si watanzania? Wanawahusu nini?
wakusaidie China , Urusi na Waarab , ww maokoto yako ya ndan unayafanyia nn mpk ukaombe kwa wenzio?
 
Wapo China ni Taifa Tajiri sana Duniani, wapo waarabu matajiri sana. Hawa watatusaidia. Sisi ni nchi huru msitupangie maisha nyie Ulaya na Marekani. Kwanza hatutaki misaada yenu.

Tunajiweza na tuna mataifa yanaweza kutusaidia sana. Uarabuni huwa wanatupa tende na halua kila wakati tunapofunga na wanaweza kutusaidia sana tu si lazima mtupe misaada yenu.

Nchi yetu huru msituingilie tunavyoishi na tunavyofanya. Ni mambo yetu hayawahusu hata kidogo. Kwani wameuliwa raia wenu? Hawa si watanzania? Wanawahusu nini?
Huko China,Urusi na Uarabuni hakuna bilionea wa ngozi nyeusi. Sembuse waje kukusaidia kwa faida yako wewe 😂😂😂😂 Tanzania bado sana.
 
Wapo China ni Taifa Tajiri sana Duniani, wapo waarabu matajiri sana. Hawa watatusaidia. Sisi ni nchi huru msitupangie maisha nyie Ulaya na Marekani. Kwanza hatutaki misaada yenu.

Tunajiweza na tuna mataifa yanaweza kutusaidia sana. Uarabuni huwa wanatupa tende na halua kila wakati tunapofunga na wanaweza kutusaidia sana tu si lazima mtupe misaada yenu.

Nchi yetu huru msituingilie tunavyoishi na tunavyofanya. Ni mambo yetu hayawahusu hata kidogo. Kwani wameuliwa raia wenu? Hawa si watanzania? Wanawahusu nini?
"Bora kukosa mali kuliko akili, kwani elimu ni bahari haina mwisho"
 
kwa urusi hakuna msaada wowote walicho nacho kwa sasa hakitoshi kula wao pampja na marafiki
 
China yupi akusaidie? Japan anazidi kuzalisha silaha aache kuwekeza hela kujihami ahangaike kukusaidia wewe?

Urusi yupi akusaidie? Anapigana vita na Ukraine mwaka wa 5 huu aache kujijenga kiuchumi aje kukusaidia wewe?
 
Back
Top Bottom