Wapo China ni Taifa Tajiri sana Duniani, wapo waarabu matajiri sana. Hawa watatusaidia. Sisi ni nchi huru msitupangie maisha nyie Ulaya na Marekani. Kwanza hatutaki misaada yenu.
Tunajiweza na tuna mataifa yanaweza kutusaidia sana. Uarabuni huwa wanatupa tende na halua kila wakati tunapofunga na wanaweza kutusaidia sana tu si lazima mtupe misaada yenu.
Nchi yetu huru msituingilie tunavyoishi na tunavyofanya. Ni mambo yetu hayawahusu hata kidogo. Kwani wameuliwa raia wenu? Hawa si watanzania? Wanawahusu nini?