Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Pia huwa wanachinja ng'ombe na kugawa kilo mbili mbili kwa kila kubazi kwenye kila sikukuu ya kuchinjaUarabuni huwa wanatupa tende na halua kila wakati tunapofunga
wakusaidie China , Urusi na Waarab , ww maokoto yako ya ndan unayafanyia nn mpk ukaombe kwa wenzio?Wapo China ni Taifa Tajiri sana Duniani, wapo waarabu matajiri sana. Hawa watatusaidia. Sisi ni nchi huru msitupangie maisha nyie Ulaya na Marekani. Kwanza hatutaki misaada yenu.
Tunajiweza na tuna mataifa yanaweza kutusaidia sana. Uarabuni huwa wanatupa tende na halua kila wakati tunapofunga na wanaweza kutusaidia sana tu si lazima mtupe misaada yenu.
Nchi yetu huru msituingilie tunavyoishi na tunavyofanya. Ni mambo yetu hayawahusu hata kidogo. Kwani wameuliwa raia wenu? Hawa si watanzania? Wanawahusu nini?
wakusaidie China , Urusi na Waarab , ww maokoto yako ya ndan unayafanyia nn mpk ukaombe kwa wenzio?
Huko China,Urusi na Uarabuni hakuna bilionea wa ngozi nyeusi. Sembuse waje kukusaidia kwa faida yako wewe 😂😂😂😂 Tanzania bado sana.Wapo China ni Taifa Tajiri sana Duniani, wapo waarabu matajiri sana. Hawa watatusaidia. Sisi ni nchi huru msitupangie maisha nyie Ulaya na Marekani. Kwanza hatutaki misaada yenu.
Tunajiweza na tuna mataifa yanaweza kutusaidia sana. Uarabuni huwa wanatupa tende na halua kila wakati tunapofunga na wanaweza kutusaidia sana tu si lazima mtupe misaada yenu.
Nchi yetu huru msituingilie tunavyoishi na tunavyofanya. Ni mambo yetu hayawahusu hata kidogo. Kwani wameuliwa raia wenu? Hawa si watanzania? Wanawahusu nini?
HujamuelewaWe maku kweli
Hujamuelewa, amewabagaza pumbavu nyie.Kuna wajinga wanataka ukoloni urudi
Wewe umeelewa.Msigwa kwenye speech yake Kwa CNN
"Bora kukosa mali kuliko akili, kwani elimu ni bahari haina mwisho"Wapo China ni Taifa Tajiri sana Duniani, wapo waarabu matajiri sana. Hawa watatusaidia. Sisi ni nchi huru msitupangie maisha nyie Ulaya na Marekani. Kwanza hatutaki misaada yenu.
Tunajiweza na tuna mataifa yanaweza kutusaidia sana. Uarabuni huwa wanatupa tende na halua kila wakati tunapofunga na wanaweza kutusaidia sana tu si lazima mtupe misaada yenu.
Nchi yetu huru msituingilie tunavyoishi na tunavyofanya. Ni mambo yetu hayawahusu hata kidogo. Kwani wameuliwa raia wenu? Hawa si watanzania? Wanawahusu nini?
pesa zako kwann zisinunue hayo magari na mamb ya msingi ?Tunanunua vitu muhimu. Unadhani magari yanayotumika hapa ndani tunapewa bure?