Watatusaidia China, Urusi na Waarabu. Nyie Mabeberu msitutishe

Na wewe umevimbiwa damu?
 
Haha jamani huu uzi ni kejeli, raia mna hasira.

Btw, Zanzibar ikivunja Muungano itageuka kuwa Dubei maana kila nyumba ina kisima cha mafuta Saudia 😅
 
Mkuu
Soma report ya nchi zilizo wekeza zaid Tz Kisha uje kuedit Uzi wako
 
Waarabu wanavopenda tigo mwaka huu mtatoa
 
Waarabu walindwa na kusaidiwa na hao mabeberu. China na Urusi hawatapenda vikwazo kumlinda jambazi, muuaji, muhalifu anayetafutwa na dunia.
 
Saudi waliwekewa vikwazo kwa kumuua Khassogi, China na Urusi kukiuka haki za binadamu. Sioni nchi ya hawa wahalifu kukimbilia labda North Korea.
 
"Bora kukosa mali kuliko akili, kwani elimu ni bahari haina mwisho"
Ndio laana ya kuongozwa na wapumbavu wasio na akili au common sense wala elimu .Hii nchi itazidi kuharibika ,soon mtaanza kununua mkate kwa matoroli ya toilet papers zenye Rangi nyekundu ,
 
Zimbabwe ilipigwa vikwazo hatari hadi sasa bado inayumba. Aliyoyafanya Mugabe hayafiki hata robot ya aliyoyafanya Samia.
 
Hiki kiburi cha kipumbavu alikuwa nacho Mugabe, Chavez ,na ******* wengine Ila jua ,fala Kama wewe kkuna maumivu yatakupata na utalia na kusaga meno utakapoenda kununua kilo ya unga au Michele kwa matoroli ya toilet papers zenu hizo. Mrusi ,China au mwarabu yuko kukuonea huruma wewe ? , yaani ufanye usenge wa kuua watu hivyo halafu utegemee huruma za mchina na mrusi , we subiri sanctions na trade imbargo zianze .Tena ******* Kama wewe mtauza mikvndu yenu hiyo ili kuafford maisha
 
Unabadirisha mabwana sio.
 
Hiki kiburi cha kipumbavu alikuwa nacho Mugabe, Chavez ,na ******* wengine Ila jua ,fala Kama wewe kkuna maumivu yatakupata na utalia na kusaga meno utakapoenda kununua kilo ya unga au Michele kwa matoroli ya toilet papers zenu hizo. Mrusi ,China au mwarabu yuko kukuonea huruma wewe ? , yaani ufanye usenge wa kuua watu hivyo halafu utegemee huruma za mchina na mrusi , we subiri sanctions na trade imbargo zianze .Tena ******* Kama wewe mtauza mikvndu yenu hiyo ili kuafford ma is ha
"Bora kukosa mali kuliko akili, kwani elimu ni bahari haina mwisho"
Yaani dunia hii kosa vyote Ila si akili wala common sense .......Hawa mataahira tulip nao hapa ni disgrace kabisa
 
Hao Urusi ,China na Waarabu wako wapi kuisaidia Zimbabwe ,Venezuela ,Cuba nk ambazo raia wanapigika na sanctions na maisha magumu iupindukia mpaka wanakimbilia nchi nyinginr miaka mingi hivi ?
 
Na kwa ile hotuba ya siku ya kuwaapisha Mawaziri naona ndiyo mko safarini kuipeleka Tanzania kwenye OIC! pelekeni tu. Kwanza lidini lenyewe limeisha bainika foundation yake ni uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…