Watawala makatili zaidi kuwahi kutokea barani Afrika

Samwel Doe alikuwa katili sana....
Alikuja kukamatwa na wapiganaji wa Prince Johnson, wakamvua nguo zote, wakamtesa, wakampiga picha akiwa uchi. Kisha kumwua na kuilaza maiti yake juu ya kichanja kilivlchokuwa pembeni ya barabara.

Correction:
Maiti ya Samuel Doe iliburuzwa na gari barabarani kama vile alivyokuwa akiwafanyia wapinzani wake.
 
Umesahau na kumkata maskio
 
Nimesikitika sana kuona kwenye hiyo List jina la Ngosha kutokuwepo. Yaani huyu mtu ni hatari zaidi ya corona
 
Kuna mmoja yule anayechangisha mikapu ya pesa kanisani. Yule bwana yule nanilioo
 
Vipi Shaka Zulu aliyesababisha vurugu katika kusini ya Afrika ili watu wakimbie hadi hapa Tanzania? (hao wa Songea..)
 
Dah kudadeki watu walikuwa jeuri aisee,yaani asubuhi wanakwea bombadier kwenda bara lingine na jioni wanarudi bara lingine kulala[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sio UK ni France mkuu...Yaani asubuhi wanatoka Kinshasa mchana wako Paris Usiku wanalala Africa...
 
Kuna mtu kwenye hii orodha mmemsahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…