Acha ujinga.Alafu unaleta mambo ya china kwani tuko china hapa.Kama mnataka kua kama china badilisheni hizo sheria na taratibu ili hilo la viboko liwe rasmi sio mambo ya kiuni wanayoyafanya viongozi wa sasa.kua na akili wakati mwingine.Acha ujuha wewe, hao wanaochapwa umejua mambo wanayoyafanya? Nini kuchapwa, walifaa kunyongwa kama ingekuwa china
DuhMagufuli is evil, ogopa sana mtu anajionyesha ni mcha Mungu, Yesu alitufundisha unyenyekevu na siyo ukatili dhidi binadamu wengine, atalipa siku moja kwa uonevu huu dhidi ya Watanzania.
Mahakama pekee ndiyo yenye haki ya kuhukumu kwenye ya Mungu na siyo viboko, ...
Mimi nilisomaga sangu sec mbeya sasa kuna sehemu pale ndani ya shule panaitwa soweto.Wakati nipo shule ya upili kidogo tu nimuuwe mwalimu mmoja baada ya kunidhalilisha, nashukuru aliumia kidogo japo waalimu wenzie waligoma kuwa nikirudi shuleni wataacha kazi, kwa bahati nzuri Mkuu wa shule alisimama kunitetea hadi nikafanya NECTA...
Kwanini usimpeleke kwenye vyombo vya sheriaSheria za nchi yetu au za unyago!?
Magufuli is evil, ogopa sana mtu anajionyesha ni mcha Mungu, Yesu alitufundisha unyenyekevu na siyo ukatili dhidi binadamu wengine, atalipa siku moja kwa uonevu huu dhidi ya Watanzania.
Mahakama pekee ndiyo yenye haki ya kuhukumu kwenye ya Mungu na siyo viboko, ...
Unadhani hiyo ni nidhamu? Huko ni kujenga taifa lenye RAIA waoga wasio weza kujitetea.Tulia kamanda nidhamu izidi kujengwa
Mkuu Barbarosa kheri ya mwaka mpya!Magufuli is evil, ogopa sana mtu anajionyesha ni mcha Mungu, Yesu alitufundisha unyenyekevu na siyo ukatili dhidi binadamu wengine, atalipa siku moja kwa uonevu huu dhidi ya Watanzania.
Mahakama pekee ndiyo yenye haki ya kuhukumu kwenye ya Mungu na siyo viboko, ...
Wewe ndio umeonyesha kiwango cha juu cha ujuha! Hayo sio mawazo toka kwenye ubongo kamiliAcha ujuha wewe, hao wanaochapwa umejua mambo wanayoyafanya? Nini kuchapwa, walifaa kunyongwa kama ingekuwa china
Ahaaaa ahaaaa, huyo Mataga kakosa uteuzi saa hii anatapika hirizi alizomezeshwa na jiwe!
Kwani Nini maana ya utawala wa Sheria,unaona sawa yanayofanyika? Basi mahakama ziondoleweAcha ujuha wewe, hao wanaochapwa umejua mambo wanayoyafanya? Nini kuchapwa, walifaa kunyongwa kama ingekuwa china
Kuna denti momoja wa kike alimtwaga ngumi za usoni DED hivi karibuni kwa sababu ya kumchapa viboko. Sijui issue hiyo ikoje sasa hivi? Wanaochapwa viboko bila ya ku-react ni wajinga. Hawajui kuwa wanaonewa.Hivi sasa tunaona baadhi ya viongozi wa kuteuliwa, wanachapa watu viboko hadharani huku vitendo hivyo vikirekodiwa na picha kusambazwa mitandaoni...
Huna mamlaka Wala madarakaNa sisi tutawachapa tu
Jaribu na wewe uoneMwamindi alimpa nidhama mteule wa nyerere.alafu akaenda polisi anamwambia mchukueni mbwa wenu.
Nani amechukua sheria mkononi?Nidhamu inajengwa kwa kuchua sheria mkononi?
Naona hiyo haikutoa somo la kutosha. Wacha waje wakutane na kichapo kutoka kwa watu waliopinda.Kuna denti momoja wa kike alimtwaga ngumi za usoni DED hivi karibuni kwa sababu ya kumchapa viboko. Sijui issue hiyo ikoje sasa hivi? Wanaochapwa viboko bila ya ku-react ni wajinga. Hawajui kuwa wanaonewa.
Kwako Mwalimu TL.
Hata mwanao akisha zoe bakora mwisho wa siku atakuwa sugu [emoji849]kuliko ibilisi [emoji83]Tulia kamanda nidhamu izidi kujengwa
Hayo mliyonayo ni batiliHuna mamlaka Wala madaraka