Watawala, siku wateule wenu wakigeuziwa kibao kwenye kuchapana viboko hadharani, tutaomba mkae kimya kama mlivyochagua kukaa kimya sasa

Watawala, siku wateule wenu wakigeuziwa kibao kwenye kuchapana viboko hadharani, tutaomba mkae kimya kama mlivyochagua kukaa kimya sasa

Acha ujuha wewe, hao wanaochapwa umejua mambo wanayoyafanya? Nini kuchapwa, walifaa kunyongwa kama ingekuwa china
Acha ujinga.Alafu unaleta mambo ya china kwani tuko china hapa.Kama mnataka kua kama china badilisheni hizo sheria na taratibu ili hilo la viboko liwe rasmi sio mambo ya kiuni wanayoyafanya viongozi wa sasa.kua na akili wakati mwingine.
 
Magufuli is evil, ogopa sana mtu anajionyesha ni mcha Mungu, Yesu alitufundisha unyenyekevu na siyo ukatili dhidi binadamu wengine, atalipa siku moja kwa uonevu huu dhidi ya Watanzania.

Mahakama pekee ndiyo yenye haki ya kuhukumu kwenye ya Mungu na siyo viboko, ...
Duh
Magonjwa Mtambuka
stroke
USSR

Ova
 
Wakati nipo shule ya upili kidogo tu nimuuwe mwalimu mmoja baada ya kunidhalilisha, nashukuru aliumia kidogo japo waalimu wenzie waligoma kuwa nikirudi shuleni wataacha kazi, kwa bahati nzuri Mkuu wa shule alisimama kunitetea hadi nikafanya NECTA...
Mimi nilisomaga sangu sec mbeya sasa kuna sehemu pale ndani ya shule panaitwa soweto.

Ukipelekwa pale unalazwa utachapwa na walimu zaidi ya 10[emoji23][emoji23][emoji23]ah kna siku nlipigana na mwalimu mmoja,jna limenitoka uhasama ukaendelea nlikutana na mwalimu mwingine nje smbdy kabigi nlimpiga naye ah maana si kwa bakora zile

Ova
 
Sheria za nchi yetu au za unyago!?
Kwanini usimpeleke kwenye vyombo vya sheria
Ukimchapa bakora ndiyo ushahukumu
Mahakama,polisi nao kazi yao nini mkuu?
Mbona tunasikia watu wanapiga hela huko tra,bandari,bot etc vp nao tuwachape bakora
Basi

Ova
 
Mkuu ni wewe au hii account yako imehackiwa?...

Kama ni wewe,hongera kwa kujitambua...
Magufuli is evil, ogopa sana mtu anajionyesha ni mcha Mungu, Yesu alitufundisha unyenyekevu na siyo ukatili dhidi binadamu wengine, atalipa siku moja kwa uonevu huu dhidi ya Watanzania.

Mahakama pekee ndiyo yenye haki ya kuhukumu kwenye ya Mungu na siyo viboko, ...
 
Tulia kamanda nidhamu izidi kujengwa
Unadhani hiyo ni nidhamu? Huko ni kujenga taifa lenye RAIA waoga wasio weza kujitetea.

Madhara yake kwa taifa ni kuwa kwa woga huo tunaweza kuvamiwa na RAIA wa mataifa mengine na wakawafanyia vitendo viovu watu wetu na wakabaki kimya.

Tusubiri kusikia tumevamiwa mpaka wa Zambia au Congo na vijana WAMELAWITIWA na wakajinyamazia kama walivyo zoea wakicharazwa.

Kisha Tanzania itaitwa taifa la wase-nge.
 
Magufuli is evil, ogopa sana mtu anajionyesha ni mcha Mungu, Yesu alitufundisha unyenyekevu na siyo ukatili dhidi binadamu wengine, atalipa siku moja kwa uonevu huu dhidi ya Watanzania.

Mahakama pekee ndiyo yenye haki ya kuhukumu kwenye ya Mungu na siyo viboko, ...
Mkuu Barbarosa kheri ya mwaka mpya!
 
Hao wanaochapwa viboko wazembe Sana au hofu... Nina HAKIKA hawajakutana na wenye react ... Iko siku unayemchapa atadaka fimbo ewe mkuu sijui wawilaya Utakula ngumi hujawapigwa maishani...
 
Acha ujuha wewe, hao wanaochapwa umejua mambo wanayoyafanya? Nini kuchapwa, walifaa kunyongwa kama ingekuwa china
Kwani Nini maana ya utawala wa Sheria,unaona sawa yanayofanyika? Basi mahakama ziondolewe
 
Hivi sasa tunaona baadhi ya viongozi wa kuteuliwa, wanachapa watu viboko hadharani huku vitendo hivyo vikirekodiwa na picha kusambazwa mitandaoni...
Kuna denti momoja wa kike alimtwaga ngumi za usoni DED hivi karibuni kwa sababu ya kumchapa viboko. Sijui issue hiyo ikoje sasa hivi? Wanaochapwa viboko bila ya ku-react ni wajinga. Hawajui kuwa wanaonewa.

Kwako Mwalimu Tundu Lissu.
 
Kuna denti momoja wa kike alimtwaga ngumi za usoni DED hivi karibuni kwa sababu ya kumchapa viboko. Sijui issue hiyo ikoje sasa hivi? Wanaochapwa viboko bila ya ku-react ni wajinga. Hawajui kuwa wanaonewa.
Kwako Mwalimu TL.
Naona hiyo haikutoa somo la kutosha. Wacha waje wakutane na kichapo kutoka kwa watu waliopinda.
 
Hakika Mwenyezimungu yupo na wenye kusubiri.

Kila nafsi itaonja umauti.

Sehemu tatu za kuishi:
Duniani sanasana 80 yrs
Kaburini
Akhera.....milele

Na hakuna RIP kaburini kama ulikuwa muovu.
 
Back
Top Bottom