gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Acha ujinga.Alafu unaleta mambo ya china kwani tuko china hapa.Kama mnataka kua kama china badilisheni hizo sheria na taratibu ili hilo la viboko liwe rasmi sio mambo ya kiuni wanayoyafanya viongozi wa sasa.kua na akili wakati mwingine.Acha ujuha wewe, hao wanaochapwa umejua mambo wanayoyafanya? Nini kuchapwa, walifaa kunyongwa kama ingekuwa china