HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Ni wazi kesi dhidi ya wapinza zinatengenezwa na serikali kwa kushirikiana na wapinzani husika i.e:Lissu kwa maslahi ya viongozi wa serikali au chama tawala na viongozi wa upinzani ambao ni sehemu ya ccm.
Nakuhakikishia kesi hizo ni za kutungwa na viongozi wa upinzani wako kazini kwa masilahi ya familia zao na wana mishahara kwa kazi hiyo.
Mbona Rugemalila alipogomea pre-bargain aliaachiwa,mnapojirundika mahakamani na kujitoa ufahamu wenzenu mnawapa pointi za kuwahamisha kiakili na kuendelea kula maisha.
Maisha ya Lissu ya gerezani ni special na ya gharama huwezi linganisha na walio nje.
Sasa endeleeni kuendekeza ushabiki wa kijinga yeye Lissu analiowa na kuendesha maisha yake na familia yake.
JITAFAKARINI NA FANYENI MAMBO YENU KWAAJILI YA FAMILIA ZENU HAO WAKO KAZINI!!