"Watekaji" wanatoa wapi pingu?

"Watekaji" wanatoa wapi pingu?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Nilikuwa nikifikiri pingu zinapatikana Polisi tu, lakini kumbe hata "watu wengine" wanaweza kuwa nazo!

"Watekaji" waliomteka marehemu Ally Kibao na hatimaye "kumpoteza", walikuwa na pingu. Lakini Jeshi la Polisi lilikana kuwatambua, kwa hiyo "hawakuwa" askari Polisi.

Waliojaribu kumteka Deogratius Tarimo nao walikuwa na pingu, lakini Jeshi la Polisi limedai haliwatambui!

Ikiwa hawakuwa askari wa Jeshi la Polisi, walitoa wapi pingu? Siku hizi zinauzwa "Kariakoo"?

Badala ushangae watu wana smg 56typ ya polisi vilevile pamoja chines pistol za polisi..

Watu wako na I'd za polisi watu wanamilik kuanzia Og jungle comofleg kombat......

Achana na radio call 😂
 
Possible mr. Tarimo alikuwa anaenda kuwekewa mwilini atomic number 29 in a periodic table of an elements😭
Sijakuelew

Atomic number 29 ni Copper, symbol Cu...

Unamanisha nini?
 
Nilikuwa nikifikiri pingu zinapatikana Polisi tu, lakini kumbe hata "watu wengine" wanaweza kuwa nazo!

"Watekaji" waliomteka marehemu Ally Kibao na hatimaye "kumpoteza", walikuwa na pingu. Lakini Jeshi la Polisi lilikana kuwatambua, kwa hiyo "hawakuwa" askari Polisi.

Waliojaribu kumteka Deogratius Tarimo nao walikuwa na pingu, lakini Jeshi la Polisi limedai haliwatambui!

Ikiwa hawakuwa askari wa Jeshi la Polisi, walitoa wapi pingu? Siku hizi zinauzwa "Kariakoo"?
Jamaa kapambana kinyama,halafu washikaji wanashangaa tu badala yakumsaidia
 
Bongo kweli bado giza,yaani Pingu bado ni mtikasi ukionekana nazo.Huku Bondeni Pingu ni sawa na Rungu.
 
Jamii inatakiwa ije itoe fundisho siku Moja Kwa kuwachoma moto hadharani Hawa polisi.Mwanza wanajitambua walikataa kutekwa na polisi ambao hawakuwa na sare Hadi mkubwa wao ocd akaja kuwaokoa Kwa kutudanganya umma kuwa anaenda kuwashughulikia lakini ukweli aliwaacha maana ni polisi wao Kwa wao
 
Back
Top Bottom