Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
"Kula chuma hiko"Nilisikia Jana Vijana wakisema JF nayo ina Pisi Kali.....Leo hata sikuhitaji kuvaa miwani yangu ya macho kuweza kuwaona π€
Hongera Max na Timu yako, you guys are doing incredible, very proud of you πππππ
Naunga mkono hoja, kwa vile hii ndio the first public JF staff retreat, huu ni mwanzo wa retreats, hivyo itafuatia jf members Dar retreat, Arusha retreat, JF London, JF DMV, etc etc na sisi wa ku chumpa, tutahudhuriaMmezingua sana wajuba, inamaaana Wateja wenu tulioko hapa Jamvini mlishindwa hata kualika Mwanajamvi mmoja akatuwakilisha na sisi tukajiskia fahari kama wateja wenu. Imagine hapo Ningemuona Pascal Mayalla kama mwakilishi wa sisi Members aysee ingekuwa poa sana.
Anyway muda bado uppo next time msisahau mwaliko kwa Snr members wa JF hapa mf Mshana Jr watuwakilishe vilivyo tutajiskia fahari zaidi.
Am kidding mods msije kunipa life ban.
Salimia hapo Robanda Tanga ndogo MkuuKaribuni na Serengeti.
Daaaah mkuu wewe ni hatari na nusu. Pale wanazamia watu wanasahau kwao.Salimia hapo Robanda Tanga ndogo Mkuu
ππππ Unavyoongea serious sasa km vile ww huendagi mfyuuuHivi kumbe kuna watu wanawafata DM kabisa wakiwa serious?
We nawe umekomalia..!!! πSio JF ya sasa, ile ya zamani Mods walikuwa wa kawaida sana aisee, halafu kumbuka JF ya sasa ni Next Level. Mkuu Maxence alishakaa meza moja na Mark Pence ( VP wa Donald Trump wakati ule)
Sitaki kutuma wala kufanya kazi JF Mimi.We nawe umekomalia..!!! π
Au ulituma maombi π€£π€£π€£π€£
NdioMkuu umewahi kutembelea hifadhi ya Ngorongoro?
Uliona wale Tembo wenye makalio makubwa?Ndio
Kuna Tembo mwenye kalio dogoUliona wale Tembo wenye makalio makubwa?
Hahaha Mkuu Waikizu wananyonga kama kona za Maranja....Daaaah mkuu wewe ni hatari na nusu. Pale wanazamia watu wanasahau kwao.
Kuna Tembo mwenye kalio dogo
Huyo ndio yupo jukwaa la lugha ya English πAisee kumbe kuna mods wazungu??
Embu tuoneNdiyo