Watetezi wa Bandari wafika Mahakama ya Rufaa, Shughuli imeanza upya

Mungu Ibariki Tanganyika[emoji173][emoji173][emoji173]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana wangu Advocate Mwakilima,mimi ni Kaka yako niliyekupokea pale Nsibirwa Hall,Makerere University, nakushauri tu kwamba ya Ngoswe muachie Ngoswe,utapigwa na SHTAKA la UHAINI ukae Jela mpaka uchakae!!ni ushauri tu
Kazi ya Uwakili ni ya nani hasa ? kumbuka kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu .

Halafu tutajie wengine waliofanyiwa hivyo
 
hao majaji labda muombe waletwe malaika kutoka mbinguni.vinginevyo mtakuwa mnapaka rangi upepo
 
Rejea thread isemayo: Hongera team wazalendo Kwa ushindi wa Awali, tukutane mahakama ya rufaa -Rabbon.

Amejibu Maombiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,

Amejibu Kwa wakati Bwanàaaaaaaa,

Amejibu haja ya moyoooooooooo!!!

Jamani Yesuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!

Amefanyaaaaaaaaaaaaa!!!!!
 
Inasemekana pia wakubwa watatumia mahakama kulibwaga dude la Bandari Ili watoa RUSHWA waingizwe mkenge!!
 
Mtapata haki kwenye hizo mahakama za CCM?
Mpaka wapewe zuiyo la utekelezaji wa hiyo hukumu ya Majaji watatu ndiyo ntajua kumbe wako serious! Bila zuwiyo utekelezaji utaendelea tu!!
 
Rufaa ni haki yao kikatiba, Swali la kujiuuliza hiyo rufaa yao ina mashiko, au ni ku just by time na kupitezeana muda tu!!??
 
Hatua moja kuelekea mahakama za kikanda to za kimataifa...
Sawasawa kabisa.

Hili wazo nadhani ni la muhimu sana.

Kwa vile wanasema ni makubaliano kati ya mataifa; na matatizo yao kati ya nchi hizo mbili, wanakubali yatapelekwa kwenye mahakama za nje kuamriwa; basi, lengo la kesi hizi zinazoendelea liwe ni kufika huko huko kwenye mahakama za nje ambako hizi nchi mbili zilikubaliana kwamba zitakwenda kumalizana kama kutakuwa kuna kutoelewana.

Naomba wenye uelewa mzuri wa maswala ya namna hii watueleze, kama inawezekana au haiwezekani.
 
There must be a way out there.

Hiyo IGA haina 'provisions' zozote nyingine zinazoruhusu kuhojiwa?

Ukoloni haukuwa na kipengele chochote kilichoruhusu ukoloni huo kuhojiwa, lakini ilibidi usalimu amri, itakuwa huu wa nyakati hizi ambazo watu wamekwishatoka usingizini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…