Watetezi wa Bandari wafika Mahakama ya Rufaa, Shughuli imeanza upya

hamna kazi za kufanya mnajuwa kabisa mtaangukia pua mnaenda kufanya nini hayo ni matumizi mabaya ya akili zenu
 
Huyu dogo alphonce lusako.nadhani kwa wanaomfahamu akiwa chuoni,walimfukuzisha chuo akaja kuanza upya chuo. Nadhani dogo Ni passion yake kulitetea taifa lake. Kama ilivyokuwa mandela kulitetea taifa lake kiasi kwamba alikaa gerezani akiwa na furaha Mana alikuwa anapigania anachokipenda moyoni mwake. Yaani aliumbwa kwa ajili icho. Wengine wanafia kuuumaaei wengine utajiri,yaani fanya moyo wako unavyokuambia
 
Mnadanganyana tu.

Misikiti siyo makanisa. Hata wewe uanaweza kuingia msikitini wakati wowote na msikiti wowote. Uislam ni mwema sana. Usiuogope. wewe mwenyewe hapo ni Muisla usiyejijuwa kuwa u Muislam. Au wewe huamini Mungu?
Who are you?
 
A Good fight! is My kind of fight.

Keep going Lusako.
 
Ule mhimiri uliojichimbia zaidi ushalegeza kabisa mihimili mingine tena mmoja ndo ushachomolewa uko hoi bin taaban umebaki kudakia vibwagizo vya mhimili mkuu. Soon utaingia hata ukichaa kabisa kwa yanayoendelea
 
This is interesting...

Kwamba nchi hii Tanzania kuna msikiti wa waarabu tu? Mtu mweusi haruhusiwi kuingia wala kuswalia humo?

-Kaveli-
Tanzania hakuna misikiti ya waarabu tu anaesema hipo huyo hajui maana ya misikiti uenda sio muisilamu
 
Hawatashinda hawatashinda kama hawatoenda moja kwa moja mahakama ya kimataifa UN ndio hapo wataweza shinda ila huko mnajichoresha slaa anyongwe tu tena na kama ya manyila wale wengine wasiuwawe
 
Mbona unakataa tamaa mapema - zipe nafasi Mahakama zetu, usipokata rufaa unaonekana umekubaliana na maamuzi yaliyotolewa.
 
Sawa. Majaji Chawa wa Mama hawawezi mwangusha Mama
 
Ndugu Allen waeza kuwa sawa.

Case ya Awali Mwabukusi alipongezwa na judges Kwa ufundi uliotukuka,

Na case Ile alishinda, maybe wameona ni Bora asirudi court wabaki wengine.

Bt naamini Bado benchi Lina Wanasheria mahiri zaidi!!
 
Pamoja tutashinda.

Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.

Tusikate tamaa Mungu hajawahi kushindwa na shetani
 
ndio tutajua kwamba hatuna Bunge na pia hatuna mahakama.
 
Hivi Rufaa unaweza ukaikata mara ngapi kama hukurizishwa na msururu wa maamuzi ya kushindwa kesi ?
ikifika mahakama ya Rufani, maamuzi yakakatiwa rufaa, maana yake watakaa majaji watatu, ikishindikana watakaa watano, ikishindikana tena watakaa majaji Saba, mwisho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…