abdul_eliesikia
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 787
- 775
MAYALLA MAANAKE NI NJAAA JAMANI... hahahaha
Paskali waziri kashinda vita.MAYALLA MAANAKE NI NJAAA JAMANI... hahahaha
unataka nikujibu mimi au rais!Unafikiri makontena hayo yalisafirishwa kwa jina la Makonda kwa bahati mbaya?
Mpakwa mafuta, siku zote ni mpakwa mafuta tuu, hili nalo litapita kama upepo.pascali umekengeuka na mpakwa mafuta wako aisee
Sawa mkuu.....ILA MUDA NI MWALIMU MZURI SANAMpakwa mafuta, siku zote ni mpakwa mafuta tuu, hili nalo litapita kama upepo.
P.
Sihitaji jibu lako tena kwani Rais keshanijibuunataka nikujibu mimi au rais!
Kama alikuwa anatumia waalimu kama uchochoro wa kupitishia mali yake binafsi bila kodi hilo ni kosa kubwa na siwezi kumtetea, lakini kama ni kosa la ufundi tu wa kutokufuata sheria lakini moyoni mwake akiwa hana kabisa ajenda ya siri, hapo busara ni kuyasamehe na kuhakikisha YOTE bila kupungua yanawafikia waliokuwa wanatumiwa kama walengwa ili abaki akiugulia kimya kimya kuwa hila yake haijafanikiwa.Mkuu ukiona wenye mamlaka wanapanda na kushuka kwa issue kama hiyo unayosema ni msaada ujue kuna jambo lipo lisilo la kawaida linaendelea. Lakini jiulize kontena za mara ya kwanza sijui 6 hazikuleta shida kwa nini hizi 20 zilete mtafaruko huo?. Pia jiulize kwa nini mara ya kwanza alizikana hizo kontena kuwa hazijui?, lakini pia kwa unavyosema kuwa kwanini walipo wasiliana na mtumaji kwa nini asimwelekeze namna nzuri ya kufikisha huo msaada kwake?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kujiuzuru sio desturi yetu, hayo mambo ya wazungu, sisi tunajitetea tunaendelea kuchapa kaziKwa kiongozi mwenye akili timamu, alipaswa kuwa amejiuzulu jioni ya leo.
Ila mkuu umeyaona yale masofa, daah sipati picha mwalimu mkuu anavyojiegemeza huku anafanya majukumu yake ya kikazi, jitihada nzuri km zile ni mbaya sana kuzibeza, Makonda kaenda kuleta msaada wa makochi ya hadhi ya hotelini tutumie mashuleni, ili walimu wajiskie vizuri wakiwa wanapiga kazi zao, afu mtu anasema yale yauzwe kweli, sio uonevu huuKama alikuwa anatumia waalimu kama uchochoro wa kupitishia mali yake binafsi bila kodi hilo ni kosa kubwa na siwezi kumtetea, lakini kama ni kosa la ufundi tu wa kutokufuata sheria lakini moyoni mwake akiwa hana kabisa ajenda ya siri, hapo busara ni kuyasamehe na kuhakikisha YOTE bila kupungua yanawafikia waliokuwa wanatumiwa kama walengwa ili abaki akiugulia kimya kimya kuwa hila yake haijafanikiwa.