Mkuu salute kwako, lugha nyepesi tu uliyotumia umetuacha sisi wapakwa mafuta! Sisi wapakwa mafuta tofauti kabisa na hawa wa kuokotwa tumeshindwa kabisa kujua kuwa huko upande wetu sisi wapakwa mafuta ila uko upande wa wateule was kuokotwa. God bless you.