Watu unatulaumu bure! sisi hatujawatuma watatulie migogoro yao kwenye vyombo vya habari! huyo kijana baada ya kuona kwamba alikosea kutumia jina lake kwanini hakwenda ofisini kwa viongozi wenzie, wayaongee hukohuko hata sisi tusijue, yeye akakimbilia kanisani kuwatangazia waumini kama vile yeye ni mchungaji? hili jambo linaukakasi sana na birashaka kama siyo kufichiana siri kuna mtu atatakiwa akamatwe kwa rushwa! 'using a public office for private gain'. kunamtu anastahili gereza hapo!!!I agree with you nahisi hapo ndipo alipochemsha na ndio hapo Dr Mpango anaposimamia kisheria lakini nafikiri kuna namna wanaweza kuitumia ili kunusuru hili kwa sababu si kwa manufaa ya RC Makonda bali walimu, tatizo watu wamelishikia bango kwa chuki na roho mbaya kitu ambacho sio sawa.
Lakini kama hawawezi kuleta pesa ,basi wangeyaleta wao hayo makontena na wangeenda kumkabizi rc ,lakini kwa jinsi tukio lilivyo hapa inaonesha kuna biashara inafanyika na ukwepaj kodi kwa mgongo wa mwalimu,Thubutu kwa taarifa yako mtanzania umtumie Hela kwa mradi wa maendeleo??? Hela yote atakula,
Alafu ujue huku nje vitu hupatikana free saa nyingine, ni rahisi mtu kukupa teaching aids kuliko pesa, sasa wengi wamevipata free
Mkuu , makonda na JPM ni marafikiPaschal ana a very realistic point, very logical indeed! Lakini ni ukweli pia kuwa yawezekana pia Dr Mpango hakukurupuka. Amelisoma game vizuri na amefanya consultations za kutosha kabla hata ya kufanya hiyo ziara ya 'Kustukiza'.
Ukweli kamwe haunaga maficho ya kudumu. Kuna watu watakuwa vindicated ana wapo watakao kuwa condemned, kwenye hili saga.
Stay tuned!
Sent using Jamii Forums mobile app
acha ujinga leo makonda akitumuliwa halafu akapewa makontena yatawafkia walengwa? poor youUkimsikiliza waziri mwenye dhamana, naona kama kuna contradiction ya ndani kwa ndani kama unatowa bn 20 kwanjiri ya shule hizo hizo, na umeakiki hizi samani nimisada na pia zinaenda pale pale unako paleka bn 20 kwanini unazikataza......hapo tatizo liko personal hataki mtoto teule aendelea kupata popularity nakupendwa na baba. Waziri kazi yake ingekua simple tu ni kusimamia kuona kwamba vinaenda kwa walengwa tu... aache kubishana na ujinga kasha boronga uchumi anafikiri watzn watampenda anajaribia kama alivo fanya kwenye korosho......watu wengine hawanaga maona anasema sheria ila azisomi zina sema je kuhusu misada kwajiri ya umma? Viongozi wa Africa wakipata madaraka wanakosa logic.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa mujibu wa sheria ya Ushuru wa Forodha ya Africa Mashariki ambayo nimefanikiwa kuisoma leo hii ni kwamba Mh. Rais hana sehemu ambayo anaruhusiwa kutoa msamaha wa kodi. Misamaha ambayo ipo imetolewa kwenye sheria yenyewe na samani siyo sehemu ya hiyo misamaha.Mkuu Kimbunga hebu leteni sheria ya misamaha ya kodi inasemaje?
Kwa uelewa wangu, rais anayo mamlaka ya kusamehe kodi, na suala kama hili Mh. Mpango alipaswa kushirikiana na Mh. Makonda, kuandika hiyo proposal na kuipeleka kwa Mh.Rais ili aone jinsi ya kulitatua na siyo alivyofanya Mh. Mpango. Refer kwenye kauli ya rais juu ya ushuru wa mazao, alishasema wananchi chukueni mazao kidogo kidogo ili mkwepe ushuru, sembuse hili! Ndiyo maana Mh. Mpango ajiandae kurudi huko alikokuwa, kama ni UDSM basi arudi huko huko, ana chuki na waalimu.
Lazima mjue hayo makontena hayajaagizwa na bashiteHapo labda itumike ile lugha yetu ya nyumbani na usemi wa kijana wa nyumbani,lakini vinginevyo huyo bashite ni mpiga dili tu,kwa nini makontena yaje kwa jina lake?
Mpango amesema lini na wapi kuwa ataacha kazi ?Makonda anadharau hamjui the way alivowatisha akina mpango na TRA since the starring of the saga. Dr mpango ameamua do or die na amesema kwa mdomo wake raisi akiruhusu msamaha basi resignation letter hapo hapo. Makonda ajue kuheshimu mamlaka kuwa na ukaribu na msalika (zama hzo) hazina nafasi. Hivi ana guts kushinda dotto, kitwanga akina mnozia etc. Atulie wakati huu ni mwingine ile trust ya mwanzo sasa iko 50-50
Makonda anadharau hamjui the way alivowatisha akina mpango na TRA since the starring of the saga. Dr mpango ameamua do or die na amesema kwa mdomo wake raisi akiruhusu msamaha basi resignation letter hapo hapo. Makonda ajue kuheshimu mamlaka kuwa na ukaribu na msalika (zama hzo) hazina nafasi. Hivi ana guts kushinda dotto, kitwanga akina mnozia etc. Atulie wakati huu ni mwingine ile trust ya mwanzo sasa iko 50-50
Bashite hasomi alama za nyakati yani yupo yupo tu na ameshajisahau kuwa anaishi kwa kubebwa
Nadhani hapo ndo kwenye shida.Tatizo kubwa ni la mpakwa mafuta kutaka kiki kwa mali za msaada kwani angetumia jina jingine kungetokea nini!
Bashite sidhani kama ana kanisa maalumuu.maana hata kanisa la MAKUTI KAWE kwa mtume ONESMO NDEGI wanadai ni mshirika wao,hali iliyopelekea moja ya vijana wa pale kupata ukurugenzi wa moja ya halmashauri za mkoa wa dodoma...Mh.Makonda, akiwa ni mtumishi wa serekali, amekosea kuwalaumu watendaji wa serekali ktk madhabahu za Kanisa.
..Serekalini kuna taratibu za kufuata inapotokea mtendaji mmoja anaona anakwamishwa ktk kazi na mtendaji mwingine wa serekali.
..Sasa watendaji wa serekali kushutumiana, na kulaumiana, makanisani, hili ni jambo jipya. Sijawahi kulisikia kabla ya tukio la Mh.Makonda.
..Na kibaya zaidi, kama kumbukumbu zangu ni nzuri, Dr.Mpango ni Muanglikana. Nadhani kaka yake ni Askofu Mstaafu wa Kanisa hilo na kaka yake huyo alishindwa ktk kura za maoni za CCM. Mh.Makonda nadhani ni Mluteri -- naomba kusahihishwa.
..Makonda, ambaye ni Mluteri, amekwenda kwenye Kanisa la Angalikana, ambako Dr.Mpango ni muumuni, na kumvurumishia laana akitumia maandiko toka ktk BIBLIA.
..Nadhani mazingira hayo yamemkwaza zaidi Dr.Mpango, na kusababisha amjibu Mh.Makonda kupitia vyombo vya habari.