Dharra
JF-Expert Member
- Jun 23, 2017
- 1,661
- 2,975
Mh. Mayala The time has come sasa ujikite zaidi kwenye kufahamu ukweli na uhalisia utakuwa muandishi mzuri sana. Nakushauri mtu akikwambia kwenye mkoba huu kuna maembe tafadhali omba kuyaona kama kweli ni maembe, usikubali tu kama kweli ni maembe, imeandikwa kwenye makontena kuna vifaa vya ofisi za walimu, taka kujua kwei ni vifaa vya ofisi za walimu? utajipambanua na naona mafanikio makubwa mbele yako