Jana nilisema pascal sikuelewielewi leo mhhhhh umenichosha kabisa.Paskali kwa hivyo unaunga mkono uvunjaji wa katiba na sheria zilizowekwa halali na kwa garama kubwa kisa tu Mtu kapakwa mafuta, mafuta yenyewe yanaweza kuwa ya nyoka.
Paskali bashite aliweza kutaja wabua/wauza unga kama ndivyo basi atutajie na walompa hizo samani wana diaspora.Hatuna imani kama kweli samani kapewa na watanzania wanadiaspora,michezo hii michafu wanatumia watu wachafu kamrubuni mtu na pengine samahi zile ni kwa ajili ya skuli yake anayojenga kusikojulikana.
Paskali unataka watu wa violet rule na regulations kwa sababu ya mpakwa mafuta ya nyoka wa GAMBUSH!? Hii ndo tanzania tunayoitaka?viongozi wanaoishi kwa ushirikina.Mi paskali leo umeniudhi kama ndo hivyo basi bora Dr Mpango afukuzwe tujue uchawi wa GAMBUSH ndo unatawala tanzania ya viwonder