Wateule wa Rais: Je, wanafanana? Kuna wengine kama wameokotwa tu, na wengine ni wapakwa mafuta Msijilinganishe

Wateule wa Rais: Je, wanafanana? Kuna wengine kama wameokotwa tu, na wengine ni wapakwa mafuta Msijilinganishe

Ni ngumu sana kumwelewa huyu jamaa, especially kama unasoma na kuchukua kama ilivyo...

Anampamba mpakwa mafuta kwa kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Yaani kwa kifupi anamuamsha mpaka mafuta awaangalie aliowapaka mafuta [emoji12]


Anamchongea mtoto kisawasawa, sijui kwann watu hawajamuelewa Pasco

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kaka utusaidie! mwanzoni kabisa kulikuwa na taarifa kuzikana contena hizo, iweje baada ya muda ad-clee kuyatambua? ninavyojua mimi sheria ya kodi ipo wazi ni taasisi gani zisamehewe kodi, je hizo contena ziliingia kwa jina la taasisi gani? halafu ukitumia neno "kuokotwa" kwa mtaalamu kama Mpango uhuishe na kofia ya kisiasa hapo ndio napingana na wewe! Ninachoona hapa kimsingi kodi ilipwe contena ziachiwe! swali la mwisho, hayo macontena 16 yalitoka kwa mtindo upi? yalilipiwa au yalitoka bila kulipiwa? mwisho kabisa jaribu tu kuheshimu taaluma za watu bila kuwa biased na nadhani hujatenda haki kusema mmoja kaokotwa na mwingine ana baraka za mungu wakati yeye ndio muhusika mkuu wa bajeti ya serikali na mipango yake yote
 
Tatizo wengi humu wana mu underrate Dr. Kwa move aliyoifanya kwa tamko lile, Dr ana backup ya jpm, kama mtakumbuka kuna kipindi DAB alilalamika kwenye vyomba vya habari kwamba atawasemeha kwa Rais maafisa wa TRA wanaokwamisha mzigo kutoka, lkn naona huko kagonga mwamba this time kaenda kulia kanisani na kutoa laana, napo kimya, kuna kitu hakipo sawa huko jikoni, zipo dalili mbeleko inaanza kuchanika kwa DAB, time will tell.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu hawawezi kuelewa unachozungumza hapa. Ni ngumu kuelewa sababu ya mfumo wetu wa kufikiri umetaifishwa,hatupendi kusoma na kuelewa mambo ya msingi. There are so many points in this thread but only who can see it will understand.others will never no matter what.watu wanapaswa kujua hili jambo si dogo hasa baada ya makonda kuamua kumshtaki kwa "mungu" wake.
Unajua kuelewa ni subjective mno. Tena unaweza kuta kwa andiko hilohilo, mwandishi akawa na shallow meaning lkn msomaji akaenda mbali zaidi.

Wengi wanachofanya hapa ni kupatana au kupingana na fikra za Paskali. Hata mimi nampinga kwa sababu naye anamtaja Mungu, ila wewe naweza kubaliana nawe kwa sababu unamtaja "mungu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimsikiliza waziri mwenye dhamana, naona kama kuna contradiction ya ndani kwa ndani kama unatowa bn 20 kwanjiri ya shule hizo hizo, na umeakiki hizi samani nimisada na pia zinaenda pale pale unako paleka bn 20 kwanini unazikataza......hapo tatizo liko personal hataki mtoto teule aendelea kupata popularity nakupendwa na baba. Waziri kazi yake ingekua simple tu ni kusimamia kuona kwamba vinaenda kwa walengwa tu... aache kubishana na ujinga kasha boronga uchumi anafikiri watzn watampenda anajaribia kama alivo fanya kwenye korosho......watu wengine hawanaga maona anasema sheria ila azisomi zina sema je kuhusu misada kwajiri ya umma? Viongozi wa Africa wakipata madaraka wanakosa logic.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kodi ilipwe tu hakuna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja waje M4C wakukalishe fasta fasta ingawa umenena point

Sent using Jamii Forums mobile app
suala la kusema eti " wamezuia kwa kuwa wameendika jina la makonda" limenifanya kuona bandiko hili linaegemea upande flani

kwa nini aliandika jina lake, je hayo ya mwanzo yaliyo pita yalipita vp kwa nini haya hawakupenda yafate njia ya mwanzo yakapitia njia yake

hapa kulikuwa na dhamira ya kutaka kujinufaisha mtu
 
Kama una akili nyepesi huwezi kumuelewa huyu jamaa.

Take notice:
1. Wakuokotwa
2. Wapakwa mafuta
3. Kanuni, Taratibu na Sheria

Ukimaliza hapo njoo hapa:

1. Jina la Makonda vs Taasisi ya Elimu
2. Makontena 20 vs 16 jumla 36
3. Tumepewa bure tusidai kodi
4. Walimu wanasaidiwa tu sio biashara

Ukimaliza hapo njoo kwenye conclusion:

Rais Magufuli katikati ya Makonda na Mpango. Rais anatafuta kodi hana masikhara. Pia, sifa hii inaenda moja kwa moja kwa Makonda na sio Rais. Law no. 1 Never outsmart the master, Makonga ka break hii law.

Makonda anaumia. Time wil tell. Na hiki ndicho mkuu Pascal Mayalla anachojaribu kughani.

Nawaza kwa sauti
 
Mpango yupo sahihi sheria ifuate mkondo wake. Tukiruhusu uholela huu wa kila mtu kuingiza mizigo kwa majina yake then anajitetea kua napeleka katika huduma za jamii tunapotea kama Taifa. Waziri, mkuu wa mkoa sijui mbunge kuna mwingine ataingiza sukari atakwambia kwa ajili ya shule wanafunzi wawe wanakunywa uji, mwingine ataingiza computer atakwambia kwa ajili ya shule nk. Vitu vikiingia kwa majina ya watu CAG kisheria hana mamlaka ya kuvifanyia auditing. Unaweza ingiza container 20 baada ya mwaka ni nanani atakayeruhusiwa kuja kufanya auditing kuona matumizi yake? vinaweza pelekwa zuga kwenye mashule then vikaingia mtaani.
 
MEYA WA UBUNGO ALILALAMIKA WALIPOPEWA MSAADA KWA AJILI YA LILE DUDE LA KUCHAKATA TAKATAKA, KUWA LINGEKUJA KWA AJILI YA MANISPAA ILA WALIGOMA, MAKONDA KABLA YA KUAGIZA ANGEOMBA EXEMPTION KWANZA
 
sure... it is subjective. mimi nazungumzia "mungu: sijajua yeye kwa makusudi au kwa bahati mbaya anamzungumzia "Mungu" mi nakubaliana na wewe pia.

Unajua kuelewa ni subjective mno. Tena unaweza kuta kwa andiko hilohilo, mwandishi akawa na shallow meaning lkn msomaji akaenda mbali zaidi.

Wengi wanachofanya hapa ni kupatana au kupingana na fikra za Paskali. Hata mimi nampinga kwa sababu naye anamtaja Mungu, ila wewe naweza kubaliana nawe kwa sababu unamtaja "mungu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kinakwamisha mambo kama watu kujifanya wao nchi ni yao....
Ikumbukwe wazi kuwa hakuna EXEMPTION KATIKA SAMANI...
Pili hakuna exemption kwa individuals...
Tatu... Hakuna analysis yoyote iliyoonesha ni kweli hivyo vifaa ni kwa ajili ya shule... alitaka kuingiza ujanja tu.. hakuna mtu wa kukusaidia kontena 36 za samani.. afu eti wawe watanzania waishio nje.. ni ujinga sana kuamini hilo...
Ukiangalia huo mzigo ni kwamba vitu vichache sana ndio vinaweza enda mashuleni lkn vingi ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya ofisi..
Makonda anatumia cheo chake na hata kujiweka na walimu ili apate huruma ya kuhalalisha upuuzi kama huo...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Pascal Mayalla hizi aina ya zawadi ndiyo walikua Wakipokea Kina Tibaijuka awamu Zilizopita..Tatizo la Makonda anafanya kujijenga kisiasa.
Kwanza aliyakana kupima Upepo..
Alipoona kuna nafasi ya kujijenga kajitokeza..
Hivyo hakuwa na nia hiyo ya Kusaidia Walimu na Ilikua rahisi kusema ni zawadi na kutoa uthibitisho...
Hata Mimi ningemuunga mkono.
 
Back
Top Bottom