Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Mpo salama Wakuu!
Watibeli tuliuchukia ûtawala wa awamu ya Tano siô Kwa sababu Hakuna mazuri àmbayo hayakufanywa na ûtawala huo. Yapo. Lakini màtukio ya utekaji, Mateka kuuawa, miili kuokotwa mahalimahali NI Moja ya mambo yaliyotufanya Sisi kuuchukia ûtawala wa awamu ya Tano
Ñàona utekaji Kwa Sasa unachachamaa, Jambo ambalo NI baya na linaloinajisi nchi yetu.
Sifurahishwi na vitendo vya ukatili, unyonyaji na dhulma iliyopitiliza hasa ya Kuua Mtu, kumpa mateso na kudhulumu HAKI yake ya kuishi.
Tunalaani matendo yenyewe. Na tunalaani wôte wanaotenda matendo yenyewe hasa wakiwa wanawatendea wasio na hatia isitahiliyo kuuawa.
Tunajua Ikiwa wanyonge Hawana na weñye ûjinga na waliodhaifu watashindwa kujitetea Basi Mungu Muumbaji, Yule aliyeumba na kuwafanya kuwa wanyonge na kuwapa Ñguvu Wengine Ambazo walizitumia kidhalimu atajua namna ya kuyaweka mambo Sawasawa Kwa Wakati.
Kamwe Sisi Watibeli hatutaungana na Wauaji, wanaodhulumu Haki za Wengine.
Tunajua wàpo Watibeli waliopo kwèñye Vyombo vya usalama, wàpo viongozi Wakuu walioheshimishwa. Hatuwaambii nini chakufanya Kwa sababu tunajua wanajua Nafasi zao na wajibu waô.
Kîla mpenda HAKI lazima apaze sauti Ikiwa matendo maovu kama haya yatazidi kuongezeka.
Mungu atalipa Kwa hekima Zake, Kwa Ñguvu Zake, Kwa utukufu wake, Kwa Upendo wake, Kwa Haki yake, Kwa kweli yake na Kwa Wakati Wake.
Yeye ndiye anauchungu kuliko Sisi. Yeye ndiye anajua nini chakufanya.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam