Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Mkuu hakuna kitu kina justify kuua mtuUpo sahihi kwa kiwango cha Haki ya Aliyeua asiye na hatia kuuawa.
Hizo zingine nafikiri zinahitaji malezo ya kina.
Mimi ni daktari personally nakutana na watu wengi
Ikiwemo mashoga ambao umewataja
Mambo ni mengi
Wengine ni wameumbwa hivyo ( prolly switching hormones) wengine ni hulka Mukundi yanapelekea hivyo
Ujinga tu wa vijana na tamaa
Kutembea na mke wa mtu ni mfano mwingine umeutaja nadhani kama sijakosea still haujustify nani afe
Either way imetokea kwako mwanamke katembea nje ni maana ake hakupendi kama anakupenda akili yake haipo sawa sawa na aende milembe
Inshort nothing verifies someone to be killed mtu katoa siri za nchi mkamateni mfungeni jela
Zipo jela za Jeshi
Zipo jela za usalama wa taifa
Peleka hio mtu huko
Don't kill him or her
Lakini kama ameuua kill instantly au ana malengo ya kuua kill instantly ondoa huo uchafu maana anaondoa dhana ya kutokuuana
Life is precious and sacred