Watoto 21 wuawa Lebanon katika mashambulio ya Israel huku idadi ya vifo ikifikia 274

Lebanese are reaping what they sow.
 
Hivi makombora wanayorusha Hezbollah huwa hayauwi watoto? Kama yanaua pia je hakuna haja kukemea hizi pande zote zisitishe hii vita watafute njia nyingine ya kumaliza huu mgogoro kwa amani? Maana ni wazi wanaoathirika ni raia wasio na hatia na sidhani kama wanaunga mkono hii njia ya vita.

Ila tunaposati upande huu wakiua watoto halafu tunakemea upande huu wakifanya kitu hicho hicho hapatapatikana matokeo chanya.
 
Wachache hivyo wanalinda hezbollah watakipata wenzao walichokitafuta
 
Yanaua ila ni watoto wa kuku, Bata na mifugo mwingine.
 
Hezbollah walirequest muda mrefu hii vita na netanyahuu kawapatia
 
Jamaa anastahili tunzo ya heshima aisee anaongoza nchi ktk wakat mgumu sana na ukiangalia vita ilipotokea na ilipo sasa ni wazi Ukraine Wana gain momentum japo Wana incur heavy losses.
Israel ina makombora ambayo hayawezi kuzuilika na Lebanon, unajua unapoanzisha vita uwe na uhakika wa kulinda raia wako japo kwa asilimia kubwa kama sio zote, Israel kuchimba mahandaki itawasaidia sana tofauti na Hezbollah ambao shambulizi Moja la Israel linaondoka na Kijiji.
 
Hezbollah walipokiws wanashambulia ndani ya Israel, ilichofsnya Israel ni kuondosha rais wake kutoka kwenye miji ile inauoshambuliwa na kuwapeleka kwenye makambi ya muda kama wakinbizi ndani ya nchi yao.
Huku wale wa Israel wakiishi ndani ya kambo za wakimbizi, raia wa Lebanon walikiwa wakiendelea na maisha yao kwa raha mustarehe, kabla ya Israel kushambulia Lebanon walitoa onyo mapema kwamba raia wahame na wakawatumia hadi messages. Sasa hivi wanamlaumu nani? Kati ya mpaka wa Israel na Lebanon yaliwekwa majeshi ya kulinda amani ya UN lakini Hezbollah imekuwa ikishambulia kila inavyojisikia na UN haikuwahi kusikika ikiongea chochote kile. Nado Istael alaumiwe hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…