Watoto 21 wuawa Lebanon katika mashambulio ya Israel huku idadi ya vifo ikifikia 274

Hawakuelewa ujumbe wa Israel Airforce walipokuwa wakiruka juu ya Mji mkuu wa Lebanon Beirut ujumbe ule ni kuwa ni kwamba IDF ina Air superiority dhidi ya Hezbola Airforce na Lebanese Airforce na wanaweza kupiga sehemu yoyote ndani ya Nchi hiyo.

Idiots wakashupaza shingo.
 
Wameua 12 kule israel wameuliwa 274 daah na ndoo kwanza imeanza kuchangamka
 
Na hatutakaa tusikie wanamgambo wa hezbola wameuawa, ni watoto na wamama. Watu mnaopigana na hao wayahudi inabidi mjitafakari. Hizi mbinu za kutangaza vifo vya watoto na wamama zishapitwa na wakati.
 
Na hatutakaa tusikie wanamgambo wa hezbola wameuawa, ni watoto na wamama. Watu mnaopigana na hao wayahudi inabidi mjitafakari. Hizi mbinu za kutangaza vifo vya watoto na wamama zishapitwa na wakati.
Mtanyooka tu kenge nyie tuliwaambia msije mkaanza kulialia oooh mzee Neta anaua watoto aya kiko wapi
 
Watu wa dar unaweza kuwahamisha wote ndani ya lisaa limoja? Hao mazayuni ni wehu lakini wakae wakijua Uislam huwa haushindwi ulienea kwa upanga hapo anajichelewesha hakuna atakae surrender miongoni mwao anaopigana nao kinyume chake nae hatakaa kwa amani hapo mashariki unless akubali deal zinazowekwa mezani kifo sio suluhisho kwetu ni ibada ambayo haina mjadala kabisa na imani
 
Wewe ndiye uliyepata taarifa saa moja kabla, lakini taarifa ilitolewa zaidi ya siku moja kabla na zilipigwa simu takribani 81,000 kwa raia zikiwataka waondoke
 
Mtanyooka tu kenge nyie tuliwaambia msije mkaanza kulialia oooh mzee Neta anaua watoto aya kiko wapi
Kumbe hata hujaelewa. Nilimaanisha kuwa jamaa hata wakipigwa hawasemi wanabaki kutoa idadi ya watoto na wamama.
 
Sababu Lengo lao si kuua watoto, kuna miji kibao Israel myeupe haina protection yoyote wakiamua wanapiga, ila wao target yao ni jeshi la Israel sio raia, ila kwa huu muelekeo sitashangaa wakipiga raia na wao
 
Acheni kulialia, mlikuwa mnasifia Hizbollah na washirika wake kuwa wanaigeuza Israel kuwa majivu.

Sasa acha iendelee kunyesha tuone panapovuja.

Zile kelele za panya eti wanauliwa watoto sijui akina mama na wazee mtaendelea kuzipiga huku mkisubiri mabikra 72 na mito ya wanzuki.
 
Hapo hakuna vita yauislam acha ujinga muisrael anapigania usalama wake hajalishi nidini gan
 
Sometime nikisoma comment kama hizi najawa na huruma sana na hili bara linapoelekea

1. Nchi ambayo ipo responsible karibia migogoro yote Africa
2. Nchi ambayo wanasiasa wake wanajinasibu hadharani wao ni Racist
3. Nchi ambayo ina spend matrilioni ya hela kusambaza misinformation Africa
4. Nchi ambayo kila kukicha inaiba Resource za Africa
5. Nchi ambayo Migrant toka Africa wanakuwa treated kama sio binadamu wanahasiwa wasizaliane na kufanywa kama vituko

Nyie mnaojiita Africa mnaitetea.

Kama hufahamu wengi hao watakaokufa watakuwa NI wakristo, Lebanon hao Sunni mnaowadhihaki ni kama 27% tu ya Nchi, kuna Maronite, Greek Orthodox, Melkite, Druze na Dini nyingi hapo
 
Sababu Lengo lao si kuua watoto, kuna miji kibao Israel myeupe haina protection yoyote wakiamua wanapiga, ila wao target yao ni jeshi la Israel sio raia, ila kwa huu muelekeo sitashangaa wakipiga raia na wao
Naangalia taarifa ya habari hapa kutoka BBC naona kuna video wameachia Hezbollah wanarusha kombora kutokea kwenye nyumba ya raia. Kwenye scenerio kama hii unafanyaje?

Sio swali la msingi. Swali ni kwamba huoni kama hizi harakati za Hamas na Hezbollah zinawaumiza zaidi raia wasio na hatia?
 
Raia wanauliwa with or without Hamas na Hezbollah, Western Bank hakuna vita vyovyote ila kila siku watu wanauliwa, Sniper akitaka kujifunza kusnipe anasubiria tu mtoto wa Ki palestina anatoka shule Anam shoot, hayo makundi yametokea kulinda watu wao hayajatokea tu from nowhere.
 
Mzozo kumalizika ni kitu kidogo tu.... ISRAEL AACHE VITA GAZA..... middle East itakuwa kimyaaa!!!! (According to hesbollah statement)
 
Serikali ya Marekani imesema kuwa imetaarifiwa na Israel kuwa inaanza uvamizi ndani ya Lebanon hivi punde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…