Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID

Zanzibar hii yenye Mchele wa mapembe, makuku/ masamaki ya peduu kutoka nje ambayo asilimia kubwa ya wananchi wa kipato Cha chini ndio watumiaji Wakubwa?
 
Nina mwanangu mwaka huu kachukua loan kaamua kuwekeza kwenye mpunga pande za usangu..... ss nyie na Michele yenu ya misaada si ndio mwanzo wa uduanzi huu

Ndio ile kilo ya mchele kuja kuuzwa 800 huo utakuwa ni uduanzi kinyama *****
 
Ukombozi wa Tanzania upo Mikononi mwa Watanzania wenyewe.
Ukombozi wa African upo Mikononi mwa waafrika Wenyewe.
"Ee Mungu tusaidie kufungua frikra zetu tuondokane na uvivu wa kufikiri na utupatie moyo wa kizalendo kwa kufanya kazi kwa bidii pasipo kunufaisha matumbo yetu iwe kwaajili ya ustawi wa vizazi vyetu vya baadae wapate kuishi Tanzania iliyo Salama" Amina.
 
Umenena vyema…
 
Bahati mbaya hatuna viongozi. Tuna wachumia tumbo. Ni aibu baada ya miaka sitini ya uhuru bado unalishwa
Ccm sasa ilipofika ni kubaya...... Mabilioni ya fedha bora wagawane viongozi na safari na misafara ila mahindi wakaombe Ulaya.

Kwani tuna Ukame au kuna vita au sisi ni wakimbizi?
 
Mmh, hiko chakula wabaki nacho, watupe tu pesa tutanunua mahindi yanayozalishwa nchini. Hivyo virutubisho vya kuwafanya watu wawe tasa hatuvihitahiji
Wanajua wakitoa pesa Cash zitaliwa, na mchele hautaonekana kabisa.
Msaada mzuri ni wa vitu kwetu watu wa dunia ya tatu.

Mambo ya phisibility study ni mengi sana.
Walete huo mchele
 
Watalawa watakwambia uchumi wa nchi unapaa kwa kasi.

Ila pamoja na yote haya kwa ninavyoijua Marekani yawezekana haya ni mavuno ya mkulima mmoja tu. Wale wana wakulima, siyo vijikulima
 
Wanajua wakitoa pesa Cash zitaliwa, na mchele hautaonekana kabisa.
Msaada mzuri ni wa vitu kwetu watu wa dunia ya tatu.

Mambo ya phisibility study ni mengi sana.
Walete huo mchele
Waje wanunue wao huku Tz kisha wakabidhi mashuleni
 
Achana na hayo huku Ulaya kuna matangazo kuwa Afrika kuna njaa na shida ya maji na wanaomba utoe hata 1 cent. NInajiuliza hwaa viongozi wetu hawaoni aibu. Yaani ma landcruiser yamejazana nchi nzima, hizo hela badala ya kupeleka sehemu sahihi mnawanunulia magari viongozi wasio na vigezo. Nimeshaapa sitolipa kodi kihalali kamwe hauwezi kulipa kodi kihalali kwa hali hii.
 
Unasema hapo ulipo kuna matangazo ya uhaba wa njaa huku afrika?.
 
Mungu wabariki wazungu
 
Sijakataa baadhi ya hoja zako, uko sahihi. Sasa tukijitafakari kwa kina unaweza kuwashangaa hata viongozi wetu na hata baadhi yetu. Ukifuatilia hili jambo kwa mfano siyo la leo na wala hao Wamarekani hawajakurupuka kuleta hiyo misaada. Wameshaleta zaidi ya tani 3800 huko nyuma eti leo ndio watu wanaruka Kimanga, hebu soma chimbuko la huo mradi wa chakula mashuleni (PAMOJA TUWALISHE) hapo chini..
 
Tunakuwa maskini kwa sababu tunapokea tu bila kutoa. Hakuna baraka inayopatikana kwa kupokea tu bila kutoa. Kidini tunasema ni heri kutoa bila kupokea. Soma maelezo yangu niliyokujibu hapo juu. Jizuie kupokea bila kutoa kwenye maisha yako
Soma hii makala...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…