sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,208
- 2,525
Watoto wa vigogo wapewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm sasa ilipofika ni kubaya...... Mabilioni ya fedha bora wagawane viongozi na safari na misafara ila mahindi wakaombe Ulaya.Nashauri hivyo viroba wabadirishane na Wanajeshi ktk ghala zao.. wakigoma inabidi waseme kwanini wamegoma..
Kuna uwezekano mkubwa huo mchele na maharage siyo salama kwa hao watoto, ila watawala wanavyopenda misaada wanaona poa tu.Tanzania tuna aridhi inayolimika zaidi ya hekta 44,000,000 na hekta 29,000,000 zinazofaa kilimo cha uwagiliaji.
Pia tunapata mvua ya zaidi ya milimita 3,000 ambazo zikitumiwa vizuri tunaweza kulima kwa mwaka mzima.
Hapa chini ni chakula misaada ambacho tumepokea kutoka marekani.
View attachment 2935364
Chini ya mpango wa 'Pamoja Tuwalishe', Wizara ya Kilimo ya Marekani, kwa ushirikiano na Jumuiya za Kimataifa, imetoa msaada wa kwanza wa mchele ulioongezwa virutubisho, maharage na mafuta ya alizeti kutoka kwa wakulima wa Marekani moja kwa moja hadi shuleni katika eneo la Dodoma nchini Tanzania.
Zaidi ya kutoa milo yenye lishe, wanafunzi katika shule zaidi ya 300 zinazoshiriki, pia wataanzisha bustani za shule, na kujifunza mbinu za kuvuna maji ya mvua.
Ikiwa ni mfano kamili unaoweza kuigwa, programu hii inaakisi ahadi na dhamira ya dhati ya Marekani ya kukuza afya, elimu, na fursa kwa watoto kote ulimwenguni.
My Point: Chakula hiki cha msaada kimewekewa virutubisho na wanaenda kula watoto wetu katika shule zaidi ya 300, nafadhaika sana.
Virutubisho vitoke wapi hapo, huo ni uchafu mtupu wa GMO na matakataka mengine yenye sumu na mind altering substances.Kama kweli vina virutubisho bc vipelekwe Ikulu
Hivi zile dawa za meno za msaada wanasema zimewekewa virutubisho gani eti?Tanzania tuna aridhi inayolimika zaidi ya hekta 44,000,000 na hekta 29,000,000 zinazofaa kilimo cha uwagiliaji.
Pia tunapata mvua ya zaidi ya milimita 3,000 ambazo zikitumiwa vizuri tunaweza kulima kwa mwaka mzima.
Hapa chini ni chakula misaada ambacho tumepokea kutoka marekani.
View attachment 2935364
Chini ya mpango wa 'Pamoja Tuwalishe', Wizara ya Kilimo ya Marekani, kwa ushirikiano na Jumuiya za Kimataifa, imetoa msaada wa kwanza wa mchele ulioongezwa virutubisho, maharage na mafuta ya alizeti kutoka kwa wakulima wa Marekani moja kwa moja hadi shuleni katika eneo la Dodoma nchini Tanzania.
Zaidi ya kutoa milo yenye lishe, wanafunzi katika shule zaidi ya 300 zinazoshiriki, pia wataanzisha bustani za shule, na kujifunza mbinu za kuvuna maji ya mvua.
Ikiwa ni mfano kamili unaoweza kuigwa, programu hii inaakisi ahadi na dhamira ya dhati ya Marekani ya kukuza afya, elimu, na fursa kwa watoto kote ulimwenguni.
My Point: Chakula hiki cha msaada kimewekewa virutubisho na wanaenda kula watoto wetu katika shule zaidi ya 300, nafadhaika sana.
Nami wasiwasi wangu uko hapa.Kuna uwezekano mkubwa huo mchele na maharage siyo salama kwa hao watoto, ila watawala wanavyopenda misaada wanaona poa tu.
Weupe wana mbinu nyingi za kueneza mambo yao. Wakikwambia kwa maneno ukapotezea, wanakukamatia kwenye msosi
Unapotembeza Bakuli kubali kutiliwa chochote.Sio GMO Kweli huo [emoji3064]
Hapa sidhani hata TBS anaweza kuja kuangalia ubora wa huo mchele 🍚. Ata ambiwa we kaa pembeni usije huu mchele hauna shida kabisa WA MAREKANI HAWA, basi watoto wanaenda kulishwa tuu mavitu ya ajabu sisi tunaona ni mchele tuu.Tanzania tuna aridhi inayolimika zaidi ya hekta 44,000,000 na hekta 29,000,000 zinazofaa kilimo cha uwagiliaji.
Pia tunapata mvua ya zaidi ya milimita 3,000 ambazo zikitumiwa vizuri tunaweza kulima kwa mwaka mzima.
Hapa chini ni chakula misaada ambacho tumepokea kutoka marekani.
View attachment 2935364
Chini ya mpango wa 'Pamoja Tuwalishe', Wizara ya Kilimo ya Marekani, kwa ushirikiano na Jumuiya za Kimataifa, imetoa msaada wa kwanza wa mchele ulioongezwa virutubisho, maharage na mafuta ya alizeti kutoka kwa wakulima wa Marekani moja kwa moja hadi shuleni katika eneo la Dodoma nchini Tanzania.
Zaidi ya kutoa milo yenye lishe, wanafunzi katika shule zaidi ya 300 zinazoshiriki, pia wataanzisha bustani za shule, na kujifunza mbinu za kuvuna maji ya mvua.
Ikiwa ni mfano kamili unaoweza kuigwa, programu hii inaakisi ahadi na dhamira ya dhati ya Marekani ya kukuza afya, elimu, na fursa kwa watoto kote ulimwenguni.
My Point: Chakula hiki cha msaada kimewekewa virutubisho na wanaenda kula watoto wetu katika shule zaidi ya 300, nafadhaika sana.
Watoto wakiwashwawashwa wakunaji wanatosha kweli?😀 au utaletwa msaada mwingine uliochanganywa na virutubisho vyenye viagra?Mpango wa kuzalisha mabwabwa wengi unaendelea worldwide. Shame on you CCM.
Lucus Mwambalaswa aje atwambie akwapeKama kweli vina virutubisho bc vipelekwe Ikulu
Watakuja na Uji wa Mchele wa Mbeya watakwambia ni hayo hayo mahindiNami wasiwasi wangu uko hapa.
Ebu km viongozi walivyokuwa msitari kwenye kuchanja mbele ya wana habari,ebu walete watoto wao nao wale huo msosi mbele ya vyombo vya habari.
Ukitaka kula nawe kubali kuliwa.