Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID

Wala tusipanic, haya ndio matokeo ya kukosa focus kwenye issue za msingi.

Hivi ilikuaje miaka ile enzi za mwalimu Tz ikawa moja ya nchi za Africa zilizokua na akiba ya chakula cha kutosha?

Tunakosea wapi labda? Nini kifanyike ukizingatia technolojia, wasomi na taasisi za kuzalisha wataalimu tunazo?
 
Kuna uwezekano mkubwa huo mchele na maharage siyo salama kwa hao watoto, ila watawala wanavyopenda misaada wanaona poa tu.

Weupe wana mbinu nyingi za kueneza mambo yao. Wakikwambia kwa maneno ukapotezea, wanakukamatia kwenye msosi
 
Kama kweli vina virutubisho bc vipelekwe Ikulu
Virutubisho vitoke wapi hapo, huo ni uchafu mtupu wa GMO na matakataka mengine yenye sumu na mind altering substances.

Samia ale uchafu huo!! Thubutuu 😹😹😹

Ni bora kula mchanga kuliko hayo matakataka kutoka Marekani 😹😹

Dokta njoo huku nimekumis DR Mambo Jambo 😹😹
 
Hivi zile dawa za meno za msaada wanasema zimewekewa virutubisho gani eti?
 
Kuna uwezekano mkubwa huo mchele na maharage siyo salama kwa hao watoto, ila watawala wanavyopenda misaada wanaona poa tu.

Weupe wana mbinu nyingi za kueneza mambo yao. Wakikwambia kwa maneno ukapotezea, wanakukamatia kwenye msosi
Nami wasiwasi wangu uko hapa.
Ebu km viongozi walivyokuwa msitari kwenye kuchanja mbele ya wana habari,ebu walete watoto wao nao wale huo msosi mbele ya vyombo vya habari.

Ukitaka kula nawe kubali kuliwa.
 
hili ni jambo la kawaida kabisa ukishindwa kujitegemea lazima uwe mtumwa na uombe misaada ya aibu, ndio maana ukimsikiliza putini anasema ziko nchi za ulaya nyingi ni watumwa lakini hutaona hio mijadala cnn, jambo kubwa hapa ni kwamba wanaotutawala hawana mpango hata mmoja wakutufanya tujitegemee.
 
Hapa sidhani hata TBS anaweza kuja kuangalia ubora wa huo mchele 🍚. Ata ambiwa we kaa pembeni usije huu mchele hauna shida kabisa WA MAREKANI HAWA, basi watoto wanaenda kulishwa tuu mavitu ya ajabu sisi tunaona ni mchele tuu.

Ila hata TBS wakienda hapo hawataweza ona chochote maana hao wamarekani wana teknolojia za ajabu, hapa tz kuja kwa hizo teknolojia ni miaka mingine 60 ya uhuru mbele, so hata TBS hata apime vipi, hata kwa kutumia uchawi hataweza ona kitu.

Una shangaa watoto miaka 10 baadaye hawataki kuoa wala kuolewa,ina hasira za hovyo hovyo,inapenda mambo ya Upinde. Basi shida tupu.

Kweli sisi ni wakupewa misaada ya chakula, ?! Ardhi yote hii,mito na maziwa alafu bado tuna amani hatuna vita ?! Sasa na Wakongo wapewe nini kama sisi tunapewa misaada ya chakula na inchi ina kila aina ya baraka toka kwa ALLAH!!

NASEMA UMASIKINI WA AKILI NI MBAYA KUPITILIZA. πŸ’―
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…