Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID

Kwa akili za kawaida tu

Kwanini wasitoe maarifa na ujuzi wa kuzalisha na kutengeneza chakula chenye lishe!

Tuna maeneo mengi watoe msaaada wa trekta, mbole, mifumo ya umwagiliaji ili tusiendele kupewa misaada
Tatizo mnadhani huu mradi ni wa Jana au Juzi 🐒
Ni wa kitambo kidogo na unafanya kazi vizuri sana 🐒
 
Si jambo jipya, miaka ya 60 shule zote Tanzania zililishwa ngano iliyorubishwa(buluga), maziwa ya unga na mafuta ya kula, kubwa na baya zaidi wananchi wote miaka ya 70 tulilishwa yanga(sembe ya njano chakula cha ng'ombe)! Na mchina alitulisha kitumbo mchele usiojua maji wa mafuta, vyote hauvikubali.
Hata hivyo usishangae ukiukuta sokoni Mwananyamala, hizo ndiyo zetu.
 
.mimi sioni shida yoyote na sijui mtoa thread unataka nini zaidi.
Au ulitka maarekani waje kulima kwenye hekari zetu na waongeze lishe zao. Yaani chakula chetu lishe yao? Au ulitakaje. Na je! Umefatilia mchakato kwann wametoa kwenye wakulima wa marekani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…