Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID

Watanzania hapa tunapoga sana kelele, ila KFC, MC Donalds na vinginevyo hatukosekani.


Jambo kuu hapa ni kuondosha ccm kwenye power wameshindwa kusimamia vitu basics sana, nchi na ardhi yote ya kilimo hii huu ni ufala mkubwa sana, wametoka kujenga vyoo hivi sasa wanatupa mchele na maharage
 
Kwa akili za kawaida tu

Kwanini wasitoe maarifa na ujuzi wa kuzalisha na kutengeneza chakula chenye lishe!

Tuna maeneo mengi watoe msaaada wa trekta, mbole, mifumo ya umwagiliaji ili tusiendele kupewa misaada
Shida hapa sio marekani , adui yako sio marekani, narudia tena adui hapa sio marekani adui mkubwa ni serikali ya Tanzania, mtoa msaada unamlaumu vipi ndugu watanzania , sisi waomba misaada ndo tulitakiwa kwenda kuomba ujuzi wa matrekta, mbolea, na mbinu za kilimo tuje kufanyia kazi maji yapo, ardhi ipo, shida ni viongozi wetu (CCM is a disgrace)
 
*****

Baada ya miaka 10 mbele akina Noeli watazidi kuwa wengi.
 
Huku viongozi wakishindana kununua VX V8 za Mil 600
 
NA MM NAGONGELEA MSUMARI HAPO

UAFRIKA NI LAANA
 
Welcome to 1980's Tanzania..ooops sorry 2024 Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…