Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID

usishangae ni mradi wa kitambo kidogo eneo hilo 🐒
 
Si mlisema mama yenu anafungua nchi? Sasa kelele za nini,

Swali dogo je watakua wanaleta kila siku? na je chakula cha siku moja basi chafaa kujenga mwili kwa mwaka mzima?
 
Walio ruhusu huo mchele ni viongozi wako walaumu wao
Wana ajenda yao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mama kafungua nchi, watu wanafuraha sasahivi,

Hivi mnajua zamani hatukuwa na wadudu wale wakubungua mahidi (dumuzi sijui nani vile scania) wale waliokuwepo njaa mwaka 1984 kama sijakosea history, Tz walipewa msaada, na msaada ukaja na wadudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…