let me get this straight..., Sababu mtu hakupiga kelele walipokufa kule na wanaokufa huku watu wasipige kelele..., (kwangu mimi wao wasiopiga kelele kule na wewe unayesema wasipige huku sababu hawakupiga kule wote ni walewale)
Binafsi injustice yoyote popote kwa yoyote haifai.., hence ikimewe, tukianza kukemea mabaya popote sio sababu nani kayafanya tutakuwa tumestaarabika kama binadamu...