Jana nimepishana na coaster imebeba wanafunzi wa primary nadhani ni shule ya government wanaimba kwa sauti kale ka wimbo ka honey ka zuchuMchakato wa kukusanyika maoni ya dira ya taifa ya maendeleo 2050 ukiendelea umekutana na maoni ya mmoja wa raia akilalamika maadili ya Mtanzania yakizidi kupotea hasa kwa watoto, raia huyu amelalama watoto kuacha kuimba nyimbo za Sunday school na kaswida badala yake wanaimba "vibuno", "honey" "siendi siendi".
Tumsikilize hapa,
View attachment 3060907
Watu wanaangalia angle moja tu ya ulaji. Kiuhalisia wanachokifanya ni upotevu wa rasilimali muda na pesa, mwisho wa siku hakuna watakachofanya cha maana na hayo maoni.Sijaelewa kwa nini serikali inapoteza rasilimali fedha na muda kumuuliza kila mtu anataka nini kuelekea 2050. Ninachofahamu kazi kama hizi huwa wanachukuliwa wataalamu mbalimbali kutoka vyuo kadhaa na taasisi chache muhimu kisha wanamaliza kazi yote ndani hata ya mwezi mmoja tu na wanatoka na document moja ya mpango iliyonyooka.
Serikali iko sahihi, wewe ndiye huielewi kabisa dhana ya ushirikishwaji. Hata uchukue maprofesa kutoka Havard University ni lazima wakusanye maoni ya wananchi ili baadae wayachambue na kutaweka kitaalamu. Kama serikali ingetaka kufanya kama usemavyo basi hata kusingekuwa na sababu ya kuwa na uwakilishi au kuchukua maoni kwenye miswaada na tume mbalimbali. Mawazo kama yako ndiyo hupelekea miswaada wakati mwingine kuwekewa muda mfupi sana wa kupokea maoni ya wananchi, kwa sababu inawezekana hata bungeni wameshawajua kwamba hamna time na mambo hayo, kiasi kwamba hata mngepewa Mwezi mzima hakuna mwenye time, watu wako bize na mipira, betting, Diamondi vs Kiba etc. Matokeo yake sheria ikipita na pengine kodi imepandishwa ndiyo watu wanashtuka na kulalamika. Tabia hii ya jamii kukwepa uwajibikaji kwenye masuala muhimu ya maendeleo ya nchi, na kuamini kwamba ni kazi ya serikali na wao haiwahusu ndiyo chanzo kikubwa cha kukosa maendeleo,hasa pale tunapokuwa na viongozi wasiokuwa wawajibikaji.Sijaelewa kwa nini serikali inapoteza rasilimali fedha na muda kumuuliza kila mtu anataka nini kuelekea 2050. Ninachofahamu kazi kama hizi huwa wanachukuliwa wataalamu mbalimbali kutoka vyuo kadhaa na taasisi chache muhimu kisha wanamaliza kazi yote ndani hata ya mwezi mmoja tu na wanatoka na document moja ya mpango iliyonyooka.
Singapore, Malaysia, Korea Kusini na China kama wangefuata huu mtindo wa kumuuliza kila mtu anataka nini kwenye mipango ya nchi leo hii bado wangeendela kuwa vijiji vya wakulima peasants na wavuvi wa mitumbwi tu.Serikali iko sahihi, wewe ndiye huielewi kabisa dhana ya ushirikishwaji. Hata uchukue maprofesa kutoka Havard University ni lazima wakusanye maoni ya wananchi ili baadae wayachambue na kutaweka kitaalamu. Kama serikali ingetaka kufanya kama usemavyo basi hata kusingekuwa na sababu ya kuwa na uwakilishi au kuchukua maoni kwenye miswaada na tume mbalimbali. Mawazo kama yako ndiyo hupelekea miswaada wakati mwingine kuwekewa muda mfupi sana wa kupokea maoni ya wananchi, kwa sababu inawezekana hata bungeni wameshawajua kwamba hamna time na mambo hayo, kiasi kwamba hata mngepewa Mwezi mzima hakuna mwenye time, watu wako bize na mipira, betting, Diamondi vs Kiba etc. Matokeo yake sheria ikipita na pengine kodi imepandishwa ndiyo watu wanashtuka na kulalamika. Tabia hii ya jamii kukwepa uwajibikaji kwenye masuala muhimu ya maendeleo ya nchi, na kuamini kwamba ni kazi ya serikali na wao haiwahusu ndiyo chanzo kikubwa cha kukosa maendeleo,hasa pale tunapokuwa na viongozi wasiokuwa wawajibikaji.
๐๐๐๐Kila mtu ana akili zakeKaswida na Nyimbo za Sunday school (Gospel songs) hayajawahi kuwa maadili ya Mtanzania.
Ni maadili ya waliotutawala wakatuachia Ukoloni Mamboleo
You missed my point, read between the lines. Maoni ya wananchi huchukuliwa kwa uwakilishi au sample. Tanzania ina watu 60 million, hivi unaweza kuwahoji wote?? Really?? Ndiyo maana hiyo mikutano ya kukusanya maoni kuhusu dira ya nchi huwezi kuiona ikiitishwa kila nyumba 10. Hata miswaada ya bunge wakikusanya maini wanafuata uwakilishi kwa makundi ya jamii kufika kutoa maoni au kutuma maoni yao. Mwisho mimi huwezi kunishawishi kwamba udikteta ndiyo huleta maendeleo kama hizo nchi ulizotaja. Mbona nchi za Scandinavia zenye maendeleo makubwa na raia wenye furaha zinajali sana maoni ya wananchi wake?Singapore, Malaysia, Korea Kusini na China kama wangefuata huu mtindo wa kumuuliza kila mtu anataka nini kwenye mipango ya nchi leo hii bado wangeendela kuwa vijiji vya wakulima peasants na wavuvi wa mitumbwi tu.
Kuchukua wataalamu kutoka vyuoni na taasisi mbalimbali muhimu ndio maoni yenyewe hayo, huo mtindo wa sasa hivi kuuliza watu katika majukwaa na mikutano ya kisiasa haufai.You missed my point, read between the lines. Maoni ya wananchi huchukuliwa kwa uwakilishi au sample. Tanzania ina watu 60 million, hivi unaweza kuwahoji wote?? Really?? Ndiyo maana hiyo mikutano ya kukusanya maoni kuhusu dira ya nchi huwezi kuiona ikiitishwa kila nyumba 10. Hata miswaada ya bunge wakikusanya maini wanafuata uwakilishi kwa makundi ya jamii kufika kutoa maoni au kutuma maoni yao. Mwisho mimi huwezi kunishawishi kwamba udikteta ndiyo huleta maendeleo kama hizo nchi ulizotaja. Mbona nchi za Scandinavia zenye maendeleo makubwa na raia wenye furaha zinajali sana maoni ya wananchi wake?