You missed my point, read between the lines. Maoni ya wananchi huchukuliwa kwa uwakilishi au sample. Tanzania ina watu 60 million, hivi unaweza kuwahoji wote?? Really?? Ndiyo maana hiyo mikutano ya kukusanya maoni kuhusu dira ya nchi huwezi kuiona ikiitishwa kila nyumba 10. Hata miswaada ya bunge wakikusanya maini wanafuata uwakilishi kwa makundi ya jamii kufika kutoa maoni au kutuma maoni yao. Mwisho mimi huwezi kunishawishi kwamba udikteta ndiyo huleta maendeleo kama hizo nchi ulizotaja. Mbona nchi za Scandinavia zenye maendeleo makubwa na raia wenye furaha zinajali sana maoni ya wananchi wake?