bongodili tele
JF-Expert Member
- Jun 8, 2024
- 1,520
- 3,022
Wasanii wengi wanamikataba ya kuharibu jamii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waacheni watoto wenu waendele tu kuimba nasikia nyg nygKuimba kaswida, Sunday music, diamond Kiba music, hakuathiri chochote katika maendeleo... Kazi ndio msingi wa maendeleo... Nyimbo ni burudani tu
Kumbe bora angetetea nyimbo za unyago na jando kama maadili ya Mtanzania!
Kumbe bora angetetea nyimbo za unyago na jando kama maadili ya Mtanzania!
M i naamini DIRA ilikwishaandaliwa na ipo katika 'document' kitaalamu. Isipokuwa serikali inapenda kupata mtazamo/maoni ya wananchi, kujiridhisha na pia kuturidhisha kuwa wananchi tulishirikishwa. Dira si makabrasha ya kujaza chumba malundo ya vitabu, bali Dira inaweza kuwa na maneno machache hata yasijae ukurasa mmoja. Hayo maoni ya wananchi ni mambo ya sera, sheria, kanuni, utaratibu, mwongozo, mila, desturi na hata mazoea.Sijaelewa kwa nini serikali inapoteza rasilimali fedha na muda kumuuliza kila mtu anataka nini kuelekea 2050. Ninachofahamu kazi kama hizi huwa wanachukuliwa wataalamu mbalimbali kutoka vyuo kadhaa na taasisi chache muhimu kisha wanamaliza kazi yote ndani hata ya mwezi mmoja tu na wanatoka na document moja ya mpango iliyonyooka.
😂😂😂😂Kila mtu ana akili zake
NaamKumbe bora angetetea nyimbo za unyago na jando kama maadili ya Mtanzania!
Kwa maelezo ya kitila, Rais anataka wananchi wote watoe maoni. Kwa yale ya Mbeya jana, ni bora akina Kitila na Asha Rose Migiro wajifungie tu kuliko huu upuuzi unaotolewa.Sijaelewa kwa nini serikali inapoteza rasilimali fedha na muda kumuuliza kila mtu anataka nini kuelekea 2050. Ninachofahamu kazi kama hizi huwa wanachukuliwa wataalamu mbalimbali kutoka vyuo kadhaa na taasisi chache muhimu kisha wanamaliza kazi yote ndani hata ya mwezi mmoja tu na wanatoka na document moja ya mpango iliyonyooka.
Mkuu wa dunia hiiWana mikataba na nani?
Labda huyu ChoiceVariable anajua hao watoa maoni huko mkoani kwake walipatikanaje,Kwa maelezo ya kitila, Rais anataka wananchi wote watoe maoni. Kwa yale ya Mbeya jana, ni bora akina Kitila na Asha Rose Migiro wajifungie tu kuliko huu upuuzi unaotolewa.
Kila mtu anaenda Kwa miguu yakeLabda huyu ChoiceVariable anajua hao watoa maoni huko mkoani kwake walipatikanaje,
Uwajibikaji unaanzia kwa mwananchi na sio viongozi wa kisiasa tu,na kutolikhua jambo muhimu kama hili ni kosa la ukwepaji wa majukumu(kutowajibika)Serikali iko sahihi, wewe ndiye huielewi kabisa dhana ya ushirikishwaji. Hata uchukue maprofesa kutoka Havard University ni lazima wakusanye maoni ya wananchi ili baadae wayachambue na kutaweka kitaalamu. Kama serikali ingetaka kufanya kama usemavyo basi hata kusingekuwa na sababu ya kuwa na uwakilishi au kuchukua maoni kwenye miswaada na tume mbalimbali. Mawazo kama yako ndiyo hupelekea miswaada wakati mwingine kuwekewa muda mfupi sana wa kupokea maoni ya wananchi, kwa sababu inawezekana hata bungeni wameshawajua kwamba hamna time na mambo hayo, kiasi kwamba hata mngepewa Mwezi mzima hakuna mwenye time, watu wako bize na mipira, betting, Diamondi vs Kiba etc. Matokeo yake sheria ikipita na pengine kodi imepandishwa ndiyo watu wanashtuka na kulalamika. Tabia hii ya jamii kukwepa uwajibikaji kwenye masuala muhimu ya maendeleo ya nchi, na kuamini kwamba ni kazi ya serikali na wao haiwahusu ndiyo chanzo kikubwa cha kukosa maendeleo,hasa pale tunapokuwa na viongozi wasiokuwa wawajibikaji.
Si nyie ndo hamuwaamini wasomi wenu wameamua kuwapa nyie mjifanyie maamuzi ili mharibu 😂😂Sijaelewa kwa nini serikali inapoteza rasilimali fedha na muda kumuuliza kila mtu anataka nini kuelekea 2050. Ninachofahamu kazi kama hizi huwa wanachukuliwa wataalamu mbalimbali kutoka vyuo kadhaa na taasisi chache muhimu kisha wanamaliza kazi yote ndani hata ya mwezi mmoja tu na wanatoka na document moja ya mpango iliyonyooka.
Mzazi anamsikilisha mtoto nyimbo, yeye anashinda bar, anachepuka 😂, anatumia mkongo 😂, halafu anajifanya inamuuma mtoto wake kukosa maadili 😂😂Hilo ni jukumu la mzazi sio kazi ya serikali. Hawa wabongo ifike mahali wajue majukumu yao. Tunataka serikali ifanye majukumu yake ila sio kuingilia kila kitu.