Watoto hawaimbi nyimbo za Sunday school na Kaswida tena, mdau alalama akitoa maoni dira ya taifa 2050

Kaswida na Nyimbo za Sunday school (Gospel songs) hayajawahi kuwa maadili ya Mtanzania.
Ni maadili ya waliotutawala wakatuachia Ukoloni Mamboleo
Ila maadili ya mtanzania ni baba kula nyama watoto na mama yao kula mchuzi tu, wanawake wenye mimba kutokula mayai na nyama ya kuku, kukeketa, ndoa za utotoni, kuvaa ngozi na magome ya miti si ndio?
 
Ila maadili ya mtanzania ni baba kula nyama watoto na mama yao kula mchuzi tu, wanawake wenye mimba kutokula mayai na nyama ya kuku, kukeketa, ndoa za utotoni, kuvaa ngozi na magome ya miti si ndio?

Hata kwèñye huo ukristo na Uislam kûna Mila potofu nyingi Sana na ukitaka Naweza kukutajia
 
Labda wana sampling technique yao hawa wabongo tuwaache tu
 
Mfumo wetu sio wa technocracy, tuko mbali sana na mfumo huo wa technocracy. Mawaziri, RC, DC na Wakurugenzi wa Halmashauri ambao ndio watu muhimu zaidi katika uongozi wa nchi yetu wanachaguliwa kwa mlengo wa siasa zaidi na ukada kuliko utaalamu/uzoefu wao wa kitaaluma na sekta mbalimbali.
 
Sawa nitajie lakn nijibu na hilo swali

Hizô ni Mila potofu Ambazo kîla jamii zîpo

Mila potofu Ndàni ya Biblia na Quran
1. Unyanyasaji wa kijinsia na kuruhusu Ndoa za mitala
2. Kuruhusu Utumwa Jambo mbali Kwa Mila za kiafrika hatuna Mila za Utumwa.

3. Ukandamizaji WA Haki za Wanawake hasa kwèñye Urithi na Mali

4. Kuwafanya Watu mîungu Watu kama Manabii, mitume, wachungaji Kwa Baadhi ya Aya kwamba usimnyooshee mtumishi WA mungu KIDOLE.

5. Kuwatenga walemavu na Watu wa makundi maalumu ikiwemo Wanawake katika Kuongoza na katika Ibada

N.k
 
Lengo langu si kusema Tanzania ni technocracy sivyo bali mataifa yaliyo na mfanano na siasa za hapa nyumbani wanatumia technocracy haitakuwa na ugumu kiasi hicho hapa nyumbani kuwezekana
 
Si nyie ndo hamuwaamini wasomi wenu wameamua kuwapa nyie mjifanyie maamuzi ili mharibu 😂😂
You're missing the point,
Watu wenye akili ambacho huwa wanapinga kwa viongozi ni rushwa, upigaji na matumizi ya anasa katika mipango.
 
Hilo ni jukumu la mzazi sio kazi ya serikali. Hawa wabongo ifike mahali wajue majukumu yao. Tunataka serikali ifanye majukumu yake ila sio kuingilia kila kitu.
Sahihi, jukumu la wazazi, makanisa na misikiti.
 
Nduyu yangu. Unajua kitu kinaitwa On transit allowance?
 
mnatafuta excuse kwenye nyimbo na kuidondoshea lawama za bure serikali.
 
You're missing the point,
Watu wenye akili ambacho huwa wanapinga kwa viongozi ni rushwa, upigaji na matumizi ya anasa katika mipango.
Mara ngapi mnabeza madaktar wazawa, mainjinia wazawa, hata wachezaji wazawa ?
 
Ni Mila za kabila gani ambazo ziko against na haya uliyosema?
 
Mara ngapi mnabeza madaktar wazawa, mainjinia wazawa, hata wachezaji wazawa ?
Sijui ni mara ngapi, labda ungenionyesha mahali ambapo madaktari na mainjinia wazawa walibezwa nijue ni kitu gani unasema.
Kuhusu kubeza wachezaji, mpira ni mambo ya kusutana na comedy zaidi nchi hii.
 
Sijui ni mara ngapi, labda ungenionyesha mahali ambapo madaktari na mainjinia wazawa walibezwa nijue ni kitu gani unasema.
Kuhusu kubeza wachezaji, mpira ni mambo ya kusutana na comedy zaidi nchi hii.
Kama hunawahi kusikia utakuwa huishi Tanzania labda anyway tuwaachie watu kazi zao
 
Labda wana sampling technique yao hawa wabongo tuwaache tu
Sampling techniques ziko universal dunia nzima na huwa tunafundishwa vyuoni which sample sizes to use kwenye mazingira yepi au utafiti upi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…