Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 4,672
- 9,806
Huyo Mungu ni wa waafrika tu, wazungu hawawahusu!?Kauli yako hii ni kufuru mbele ya mwenyezi Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Mungu ni wa waafrika tu, wazungu hawawahusu!?Kauli yako hii ni kufuru mbele ya mwenyezi Mungu
Elon Musk ana Watoto sio chini ya 10 yaan ana Watoto 12 na sio masikini hizo mentality zenu za Watoto umasikini acheniWewe mpuuzi unayenuka kikwapa kwa umaskini, unapata wapi ujasiri wa kuzaa watoto?
Changanya na zakoZa kuambiwa..........
Kwa Sasa maisha yanaenda Kwa mfumo kuzaa zaa tu ili watoto waje wajitafutie bila kuwatengeneza ili wafiti kwenye mfumo ni kumleta Ili aje ateseke,Umekaririshwa kuwa lazima wote wafike chuo kikuu na lazima wasome shule za kulipia!
Ndio maana unajipa stress kana kwamba hakuna maisha bila hayo!
Kumbuka kabla hizi perfumes zenu pamoja na deodorants hazijaingia Mjini mwishoni mwa miaka ya 90's kunuka Kikwapa haikuwa big deal Mkuu 😅Wewe mpuuzi unayenuka kikwapa kwa umaskini, unapata wapi ujasiri wa kuzaa watoto?
Ona huyuJikubali hupendi watoto ama huna uwezo wa kuwahudumia watoto na mama yao
Utajiri wa wenye hali duni ni watoto
Utajiri wa wenye hali nzuri (matajiri) ni kuwa na mali (fedha, ardhi, nyumba magari etc)
Kwanin unapenda kutafutiwa kijana?! Umeshikilia sana hapo!!°Kwa Sasa maisha yanaenda Kwa mfumo kuzaa zaa tu ili watoto waje wajitafutie bila kuwatengeneza ili wafiti kwenye mfumo ni kumleta Ili aje ateseke,
mijitu ya hovyo kabisa kuwai kutokea kwene Taifa la tanzania.Miaka ya 1980 kurudi nyuma watoto walikuwa sehemu ya nguvu kazi ya familia. Hivyo mtu akiwa na watoto wengi alihesabika kana kwamba anamiliki matrekta kadhaa ya kumsaidia ktk kilimo.
Siku hizi mambo yamebadilika. Watoto hawana thamani tena, sana sana wamegeuka kuwa sawa na kujitwisha zigo la misumari kichwani. Watoto wanateseka na mzazi anateseka.
Kuzaa tuwaachie matajiri ambao wana mali za kurithisha watoto wao. Wewe mwenye kajumba kamoja na gari lako la mkopo acha kuzaa, utatujazia vibaka na wadangaji mitaani.
Si mnaona mlundikano wa vijana ambao ni vibaka na madadapoa mijini na vijijini hivi siku hizi? Au mnadhani hao vijana walijizaa?
Obama ana watoto 2.
W. Bush ana mtoto 1.
Clinton ana mtoto 1.
.
Wewe mpuuzi unayenuka kikwapa kwa umaskini, unapata wapi ujasiri wa kuzaa watoto?
Ungekuwa unafahamu maana ua maisha na mgawanyiko wake usinge andika hivi.Miaka ya 1980 kurudi nyuma watoto walikuwa sehemu ya nguvu kazi ya familia. Hivyo mtu akiwa na watoto wengi alihesabika kana kwamba anamiliki matrekta kadhaa ya kumsaidia ktk kilimo.
Siku hizi mambo yamebadilika. Watoto hawana thamani tena, sana sana wamegeuka kuwa sawa na kujitwisha zigo la misumari kichwani. Watoto wanateseka na mzazi anateseka.
Kuzaa tuwaachie matajiri ambao wana mali za kurithisha watoto wao. Wewe mwenye kajumba kamoja na gari lako la mkopo acha kuzaa, utatujazia vibaka na wadangaji mitaani.
Si mnaona mlundikano wa vijana ambao ni vibaka na madadapoa mijini na vijijini hivi siku hizi? Au mnadhani hao vijana walijizaa?
Obama ana watoto 2.
W. Bush ana mtoto 1.
Clinton ana mtoto 1.
.
Wewe mpuuzi unayenuka kikwapa kwa umaskini, unapata wapi ujasiri wa kuzaa watoto?
Laana nyingine za kujitakia..Ilikuwa na faida gani kukufuru namna iyo unaweza kuzaa mtoto mmoja na akawa Shoga vile vile.Miaka ya 1980 kurudi nyuma watoto walikuwa sehemu ya nguvu kazi ya familia. Hivyo mtu akiwa na watoto wengi alihesabika kana kwamba anamiliki matrekta kadhaa ya kumsaidia ktk kilimo.
Siku hizi mambo yamebadilika. Watoto hawana thamani tena, sana sana wamegeuka kuwa sawa na kujitwisha zigo la misumari kichwani. Watoto wanateseka na mzazi anateseka.
Kuzaa tuwaachie matajiri ambao wana mali za kurithisha watoto wao. Wewe mwenye kajumba kamoja na gari lako la mkopo acha kuzaa, utatujazia vibaka na wadangaji mitaani.
Si mnaona mlundikano wa vijana ambao ni vibaka na madadapoa mijini na vijijini hivi siku hizi? Au mnadhani hao vijana walijizaa?
Obama ana watoto 2.
W. Bush ana mtoto 1.
Clinton ana mtoto 1.
.
Wewe mpuuzi unayenuka kikwapa kwa umaskini, unapata wapi ujasiri wa kuzaa watoto?
hamna mtu hapoUngekuwa unafahamu maana ua maisha na mgawanyiko wake usinge andika hivi.