Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Waarabu ni business oriented halafu ni waaminifu.So duniani ulizaliwa ufanye nini kama hutakuwa na watoto? Maisha ni mazuri sana ukiwa na familia Yani hata unavyoenda kupambana kuna spirit inakuongoza na kukupa ujasiri pindi unapoifikiria familia yako. Kupata na kukosa ni matokeo lakini familia kwanza. Kindly mtoa mada angalia wosia wa marehemu usijekuwa mfupi, marehemu alizaliwa, marehemu amefariki, jina la bwana lihimidiwe .......... Pambana uache chata zako Duniani the rest is history!
Mzee wangu marehemu alikuwa mtu wa transaction sana kwenye mabenk, mdreva tax wake ni wawili tu wote ni wapemba na watu wazima.