MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Watoto wanakuja tu mkuu, unless uvae condom au usiwe na uwezo wa kuzalisha, fyatua watoto wewe acha uogaKumbe watoto huwa wanakuja wenyewe tu!
Mitazamo kama hii huwa inanitia kichefuchefu hadi natamani kujitoa JF.
Soma Zaburi ya 127:3-5
3. Tazama, watoto ni urithi kutoka kwa BWANA,Uzao wa tumbo ni thawabu.
4. Kama mishale mkononi mwa shujaa, Ndivyo walivyo watoto wa ujanani.
5. Heri mtu yule Aliyelijaza podo lake hivyo.Naam, hawataona aibu Wanaposema na adui langoni.