Watoto hawana faida, hasa kwa masikini. Kuzaa watoto ni mateso ya kujitakia tu

Watoto hawana faida, hasa kwa masikini. Kuzaa watoto ni mateso ya kujitakia tu

Donda ndugu sijajua Ila anasema ana donda la Siri ambalo hata kumwelezea mtu anaona aibu na hilo donda kalipata huko alikokua anakukuruka na huyo Mwanaume alipoona amepata donda la Siri akamtimua na mahusiano yameisha hapo akarudi kwa Bibi yake sasa anajiuguza ndio kunikumbuka Mimi kwamba niliwahi mpigia Zeze akanipiga cha ubavu, kwa hio hapo unazungumziaje shemela wangu wa faida ?
Achana nae huyo chura kiziwi...sio wadada wote wako hivyo..ukiona hivyo alikua na option mbili au tatu sasa hizo options zake zimebuma...tena kimbia mnoo
 
Achana nae huyo chura kiziwi...sio wadada wote wako hivyo..ukiona hivyo alikua na option mbili au tatu sasa hizo options zake zimebuma...tena kimbia mnoo
Kwa hio nitoke nduki nisigeukie nyuma maana kaniganda mpaka najiuliza maswali mfululizo anataka nianze kugharamia matibabu ya donda lake la Siri wakati donda hilo sijampa MIMI kweli ni haki hio?
 
Rapper Young Thug aliwahi kusema kwamba anatamani watu maskini wasiwe na uwezo wa kuzaa watoto.

Mtu maskini akizaa watoto anaongeza maskini wengine duniani.

Kabla ya kuleta kiumbe duniani hakikisha utaweza kumhudumia na kumtimizia mahitaji yake yote, Sio kuzaa zaa kama panya au simbilisi halafu utegemee msaada wa ndugu au serikali.
Lionel Messi aliokotwa na UNICEF akiwa na umasikini wa kipato na umasikini wa afya alikua amedumaa

Rapper Lil Durk ana Watoto 8 na anataka awe na Watoto 12 Watoto ni Baraka hujui inakujaje Ila elewa hivyo

Aposto Bonifaso Mwaposa Bulidoza ana Mtoto mmoja anaefahamika ukiondoa wengine wasiofahamika
 
Miaka ya 1980 kurudi nyuma watoto walikuwa sehemu ya nguvu kazi ya familia. Hivyo mtu akiwa na watoto wengi alihesabika kana kwamba anamiliki matrekta kadhaa ya kumsaidia ktk kilimo.

Siku hizi mambo yamebadilika. Watoto hawana thamani tena, sana sana wamegeuka kuwa sawa na kujitwisha zigo la misumari kichwani. Watoto wanateseka na mzazi anateseka.

Kuzaa tuwaachie matajiri ambao wana mali za kurithisha watoto wao. Wewe mwenye kajumba kamoja na gari lako la mkopo acha kuzaa, utatujazia vibaka na wadangaji mitaani.

Si mnaona mlundikano wa vijana ambao ni vibaka na madadapoa mijini na vijijini siku hizi? Au mnadhani hao vijana walijizaa?

Obama ana watoto 2.
W. Bush ana mtoto 1.
Clinton ana mtoto 1.
.
Wewe mpuuzi unayenuka kikwapa kwa umaskini, unapata wapi ujasiri wa kuzaa watoto?
Bush ana Watoto 2, mimi ninao 6 na ninawamudu vizuri na wala sitegemei chochole toka kwao zaidi ya jokes za hapa na pale
 
Alafu Wanawake mpunguze ujinga kuna Manzi nilimfukuzia Mwaka Jana akanitolea cha mbavu tena Maneno makali Mno angekua mtu mwingine angejipiga kitanzi na kuchukua maamuzi magumu ya kujitoa Uhai, sasa basi siku zimeenda Manzi namshangaa amerudi kwangu na speed ya rocket jet yaan ananiganda km ruba katika kumdadisi kumbe alikua na lijanaume huko wameendelea na mahusiano sasa sijui km kamfanyaje sasa hivi anauguza kidonda cha Siri ambacho anashindwa kumueleza hata Mama yake Mzazi sababu ni Jambo la aibu, now anaanza kuniganda Mimi nimfichie aibu, hivi huyu mtu alinikataa tena kwa Maneno makali namkumbusha anasema hakumbuki, hivi nyie Wanawake hua mnafikiri kabla ya kutenda kweli? Demi Kalpana Kapeace binti kiziwi Midekoo
Nimetoka kapa.
 
Juzi kati kuna uzi uliletwa hapa, mwanamke analalamika amezaa watoto wanne kwa kisu, analalamika tatizo ni nini?

Mimi nikawa nashangaa, anazaa watoto wanne mpaka leo, tatizo ni nini?
Yaani anachanwa halafu anashika ujauzito tena, anachanwa tena..

Duuh hahofii afya yake na huyo kiumbe, atamlea vipi akiwa dhoofu na baadhi ya shughuli hawezi fanya, si ajabu hata kipato sio wezeshi.
 
Yaani anachanwa halafu anashika ujauzito tena, anachanwa tena..

Duuh hahofii afya yake na huyo kiumbe, atamlea vipi akiwa dhoofu na baadhi ya shughuli hawezi fanya, si ajabu hata kipato sio wezeshi.
Halafu yeye kaona kuchanwa ndiyo issue, kuzaa hivyo si issue.

Angeweza kuzaa bila kisu angefyatua hata watoto saba.
 
Sasa Kama usingezaliwa unhewezaje Kuandika hapa yaani ungeonekana kuwa mzigo kabla hujaja Duniani si ingekuwa hujaona jua mzee?
Kila mtoto huja na Sahani yake
 
Back
Top Bottom