- Thread starter
- #141
Kwa hela zake, Beckham hata kama atakuwa na watoto 100 bado anaweza kuwalea.Beckham ana watoto wa ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hela zake, Beckham hata kama atakuwa na watoto 100 bado anaweza kuwalea.Beckham ana watoto wa ngapi?
Hata mimi ninakubaliana na ukisemacho hasa kwa kuwachukulia wazazi wako kama mfano.Miaka ya 1980 kurudi nyuma watoto walikuwa sehemu ya nguvu kazi ya familia. Hivyo mtu akiwa na watoto wengi alihesabika kana kwamba anamiliki matrekta kadhaa ya kumsaidia ktk kilimo.
Siku hizi mambo yamebadilika. Watoto hawana thamani tena, sana sana wamegeuka kuwa sawa na kujitwisha zigo la misumari kichwani. Watoto wanateseka na mzazi anateseka.
Kuzaa tuwaachie matajiri ambao wana mali za kurithisha watoto wao. Wewe mwenye kajumba kamoja na gari lako la mkopo acha kuzaa, utatujazia vibaka na wadangaji mitaani.
Si mnaona mlundikano wa vijana ambao ni vibaka na madadapoa mijini na vijijini siku hizi? Au mnadhani hao vijana walijizaa?
Obama ana watoto 2.
W. Bush ana mtoto 1.
Clinton ana mtoto 1.
.
Wewe mpuuzi unayenuka kikwapa kwa umaskini, unapata wapi ujasiri wa kuzaa watoto?
Kwa dunia ya sasa ni kweli mkuu watoto hawana faida yoyote sana sana ni mitihani tu Mungu atuepushe nayo.
Vijana tunakufa tukiwa wadogo sio rahisi tena vijana wa sasa kuja kushuhudia mafanikio ya watoto wao.
Binafsi nimeshazika wazazi wangu wote wawili kwa nyakati tofauti na hakuna ata mzazi wangu 1 alieshuhudia mafanikio yangu ama kuyafaidi.
Kwa hatua kama iyo utasema kuzaa kuna faida gan mkuu ?
Utawalea vipi watoto vizuri na huna hela mzee??Kikubwa hata Kama MTU hana pesa na Mali ajitahidi kuwalea watoto vizuri
Ili binadamu waendelee kuwepo duniani ni LAZIMA wazalianeMiaka ya 1980 kurudi nyuma watoto walikuwa sehemu ya nguvu kazi ya familia. Hivyo mtu akiwa na watoto wengi alihesabika kana kwamba anamiliki matrekta kadhaa ya kumsaidia ktk kilimo.
Siku hizi mambo yamebadilika. Watoto hawana thamani tena, sana sana wamegeuka kuwa sawa na kujitwisha zigo la misumari kichwani. Watoto wanateseka na mzazi anateseka.
Kuzaa tuwaachie matajiri ambao wana mali za kurithisha watoto wao. Wewe mwenye kajumba kamoja na gari lako la mkopo acha kuzaa, utatujazia vibaka na wadangaji mitaani.
Si mnaona mlundikano wa vijana ambao ni vibaka na madadapoa mijini na vijijini siku hizi? Au mnadhani hao vijana walijizaa?
Obama ana watoto 2.
W. Bush ana mtoto 1.
Clinton ana mtoto 1.
.
Wewe mpuuzi unayenuka kikwapa kwa umaskini, unapata wapi ujasiri wa kuzaa watoto?
Mkuu wazee wako wametimiza wajibu wao wa kukuleta duniani na kukulea kwa uwezo wao, na wewe timiza wajibu wako kutoboaNajuta kuzaliwa na wazazi masikini na mbaya wakaaga mpambano mapema, although wamenifanya niwe strong na nihustle sana mpaka kuwa na uhakika wa kuweza kujilisha, kulisha watoto wangu na kusaidia baadhi ya nnaoweza kuwasaidia. Hii ilinifanya nizae watoto wawili tu maana ndio Nina uwezo nao wa kuwahudumia. Masikini usiye na uhakika wa kipato tafadhali sana tumia condom, hawa watu maisha yamewapiga hata hiyo child support Kuna wengine wanaitamani. Maamuzi unayo mwanaume hawa wenzetu uvae condom usivae wala hawajari.
Mkuu kama wewe ni mkristo na unaamini katika maandiko, moja ya mstari katiba biblia unasema, Mithali 13:22 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi; na mali ya mkosaji huwa akiba kwa mwenye haki. Mwisho wa kunukuu.Mkuu wazee wako wametimiza wajibu wao wa kukuleta duniani na kukulea kwa uwezo wao, na wewe timiza wajibu wako kutoboa
Kabisa mkuuSure Mzee hio ndio inafanya Watoto wanadumaa Ila kumwadhibu mtoto muhimu usipofanya hivyo atajinyea Sebleni wakati CHOONI anapajua
Zaeni muongezeke muijaze dunia.Miaka ya 1980 kurudi nyuma watoto walikuwa sehemu ya nguvu kazi ya familia. Hivyo mtu akiwa na watoto wengi alihesabika kana kwamba anamiliki matrekta kadhaa ya kumsaidia ktk kilimo.
Siku hizi mambo yamebadilika. Watoto hawana thamani tena, sana sana wamegeuka kuwa sawa na kujitwisha zigo la misumari kichwani. Watoto wanateseka na mzazi anateseka.
Kuzaa tuwaachie matajiri ambao wana mali za kurithisha watoto wao. Wewe mwenye kajumba kamoja na gari lako la mkopo acha kuzaa, utatujazia vibaka na wadangaji mitaani.
Si mnaona mlundikano wa vijana ambao ni vibaka na madadapoa mijini na vijijini siku hizi? Au mnadhani hao vijana walijizaa?
Obama ana watoto 2.
W. Bush ana mtoto 1.
Clinton ana mtoto 1.
.
Wewe mpuuzi unayenuka kikwapa kwa umaskini, unapata wapi ujasiri wa kuzaa watoto?
Hapa classmate alizingua big time mazee...🤣Ujinga Kama huu alishawahi kuusema Mramba huku akisahau kwamba yeye Ni wa nane katika tumbo la mama yake.