Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So what!!Am proud to be a Muslim
Sidhani kama unamanisha kwamba kua muislamu tuna zaa bila mpangilio. Wsislamu wanaongoza kwa utajiri na kua na watoto, mpagilio wao ni mzuri.Am proud to be a Muslim
Anakua amesoma au hajasoma???Matokeo yake watoto wanasoma kwa kuunga unga hadi mtu anamaliza shule, kapitia mikono mingi kwa mjomba, shangazi, baba mkubwa etc.
sahihi lakini tunabidi tuheshimu mawazo ya mtu shida wanaume wengi hawa Hudumii watoto waoAchana nao hawa vijana wana stress za maisha zinazosababishwa na uvivu wa kujitafuta wakitegemea kuna mtu atawasaidia.
Huwez sikia uiinga kama huu toka kwa mtu aliye serious kupambana na maisha.
Hivi vi generation Z vijinga jinga kutwa kushinda mitandaoni wakifikiri kufanikiwa kirahis ndio akil zao.
Wanataka kumudu maisha kwa google adds na you tube channels badala ya kufanya real work
Ni kwel ,kama vile, ambavyo alipaswa si tu kuheshimu mawazo yetu wengine bali ya baba kwanza aliyemzaasahihi lakini tunabidi tuheshimu mawazo ya mtu
Hongera Mkuu kwa kuwa na mawazo ya namna hii!Miaka ya 1980 kurudi nyuma watoto walikuwa sehemu ya nguvu kazi ya familia. Hivyo mtu akiwa na watoto wengi alihesabika kana kwamba anamiliki matrekta kadhaa ya kumsaidia ktk kilimo.
Siku hizi mambo yamebadilika. Watoto hawana thamani tena, sana sana wamegeuka kuwa sawa na kujitwisha zigo la misumari kichwani. Watoto wanateseka na mzazi anateseka.
Kuzaa tuwaachie matajiri ambao wana mali za kurithisha watoto wao. Wewe mwenye kajumba kamoja na gari lako la mkopo acha kuzaa, utatujazia vibaka na wadangaji mitaani.
Si mnaona mlundikano wa vijana ambao ni vibaka na madadapoa mijini na vijijini hivi siku hizi? Au mnadhani hao vijana walijizaa?
Obama ana watoto 2.
W. Bush ana mtoto 1.
Clinton ana mtoto 1.
.
Wewe mpuuzi unayenuka kikwapa kwa umaskini, unapata wapi ujasiri wa kuzaa watoto?
Yes I doHadi wewe? Unasapoti kufyatua watoto!
Wapo waliozaa watoto kibao halafu wakafa wote, wazazi wakabaki peke yao uzeeni. Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamuUsizae kesho usumbue watoto wa wenzio kukupikia uji na kukuvika pampasi.
Hizo ni bahati mbaya, umri wa mtu ni miaka 80 au zaidi.Wapo waliozaa watoto kibao halafu wakafa wote, wazazi wakabaki peke yao uzeeni. Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu
Kumbe watoto huwa wanakuja wenyewe tu!Kama watoto wanakuja waache waje, ndiyo mpango wa Mungu tuijaze dunia, mengineyo ni majaaliwa
Mshukuru Mungu alikuleta duniani kupitia wazazi wako ili leo uje ukufuru hivi.Miaka ya 1980 kurudi nyuma watoto walikuwa sehemu ya nguvu kazi ya familia. Hivyo mtu akiwa na watoto wengi alihesabika kana kwamba anamiliki matrekta kadhaa ya kumsaidia ktk kilimo.
Siku hizi mambo yamebadilika. Watoto hawana thamani tena, sana sana wamegeuka kuwa sawa na kujitwisha zigo la misumari kichwani. Watoto wanateseka na mzazi anateseka.
Kuzaa tuwaachie matajiri ambao wana mali za kurithisha watoto wao. Wewe mwenye kajumba kamoja na gari lako la mkopo acha kuzaa, utatujazia vibaka na wadangaji mitaani.
Si mnaona mlundikano wa vijana ambao ni vibaka na madadapoa mijini na vijijini siku hizi? Au mnadhani hao vijana walijizaa?
Obama ana watoto 2.
W. Bush ana mtoto 1.
Clinton ana mtoto 1.
.
Wewe mpuuzi unayenuka kikwapa kwa umaskini, unapata wapi ujasiri wa kuzaa watoto?
Wewe ukiwa hasara kwa wazazi wako,usi generalize wote.Kwa dunia ya sasa ni kweli mkuu watoto hawana faida yoyote sana sana ni mitihani tu Mungu atuepushe nayo.
Vijana tunakufa tukiwa wadogo sio rahisi tena vijana wa sasa kuja kushuhudia mafanikio ya watoto wao.
Binafsi nimeshazika wazazi wangu wote wawili kwa nyakati tofauti na hakuna ata mzazi wangu 1 alieshuhudia mafanikio yangu ama kuyafaidi.
Kwa hatua kama iyo utasema kuzaa kuna faida gan mkuu ?
Sawa watoto ni faraja ila uwe umejipata mkuu kwenye ilo wala hakuna ubishiWewe ukiwa hasara kwa wazazi wako,usi generalize wote.
Halafu watoto siyo mtaji,ni faraja tu.
Sent from my SM-G970U using JamiiForums mobile app