Watoto hawana faida, hasa kwa masikini. Kuzaa watoto ni mateso ya kujitakia tu

Wewe mpuuzi unayenuka kikwapa kwa umaskini, unapata wapi ujasiri wa kuzaa watoto?
Elon Musk ana Watoto sio chini ya 10 yaan ana Watoto 12 na sio masikini hizo mentality zenu za Watoto umasikini acheni

Watoto hawaleti umasikini Watoto hawakuambukizi umasikini
 
Wewe mpuuzi unayenuka kikwapa kwa umaskini, unapata wapi ujasiri wa kuzaa watoto?
Kumbuka kabla hizi perfumes zenu pamoja na deodorants hazijaingia Mjini mwishoni mwa miaka ya 90's kunuka Kikwapa haikuwa big deal Mkuu 😅

Wanaume tunanukia Kiume kiume na bado Bibi zenu walikuwa wanatupenda hivyo hivyo 😜💪

Sijapenda haya masimango🤗
 
Suala la kuzaa watoto wengi au wachache ni maamuzi ya mtu mwenyewe binafsi, ukihamua kutokua na mtoto Sawa pia ukihamua kuwa na mtoto au watoto Sawa. Utajili au umaskini unategemea jitihada zako mwenyewe kwenye maisha lazma tupambane ili tuweze kuishi ivyo suala la kuzaa idadi ndogo ya watoto eti kisa mtu ni maskini binafsi siungi mkono
 
Shida mindset iliyopo Kwa wale wanazaa watoto...
Mtu anaishi nyumba ya kupanga ana watoto 5 na wote wanalala chumba kimoja...
Elimu hawezi kuwapa, chakula duni, Hana hata shamba basi walima...
Mimi huyo Mtu inafaa afunguliwe mashtaka
 
mijitu ya hovyo kabisa kuwai kutokea kwene Taifa la tanzania.
Hufai kuwa baba wala kuwa mama.
We n useless
 
Ungekuwa unafahamu maana ua maisha na mgawanyiko wake usinge andika hivi.
 
Laana nyingine za kujitakia..Ilikuwa na faida gani kukufuru namna iyo unaweza kuzaa mtoto mmoja na akawa Shoga vile vile.
Vijana tupunguze ujuaji wa kuongea kila kitu
 
Quality over quantity , bora kuwa na wachache ili usipate tabu ya kuwalea kuliko kundi kubwa mwishoe unakopa kila siku ..Mshahara mdogo unajipa presha ya familia mtu kazini unasumbua kutwa kukopa kumbe ungekuwa na watoto wawili usingepata tabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…