Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Ndio,kwasababu ana tabia za Kimalaika.Japo wengine ni pasua kichwa.Hapo nami huwa najiuliza, utasikia huyo ni malaika kwa sababu ni mtoto.
Mbona hakuna hatari hapo mzee?
Mtoto si malaikaKwakuwa hao ni malaika hawajui mabaya ya dunia hii Mungu anazidi kuwabariki
Basi achana kujibizana na mtu anayeropoka baki na ujuzi wakoWewe ndo huelewi unaropoka tu huna evidence.