Watoto kufanya ukahaba jijini Dar es salaam. Tatizo ni nini?

Wanaume wengi huvutika na wadada wadogowadogo,wanakwepa ma-tandam,hivyo demand kua kubwa kwao(hao watoto) na inajulikana,hivyo suala la uhuni kwa hao watoto halitaisha.
 
Uko sahihi kabisa
 
Wanaume wengi huvutika na wadada wadogowadogo,wanakwepa ma-tandam,hivyo demand kua kubwa kwao(hao watoto) na inajulikana,hivyo suala la uhuni kwa hao watoto halitaisha.
Lakini hao watoto wao wenyewe ndio wana enda kujiuza sehemu wanazo jiuza wanawake
 
Tatizo nyie hamjui,chimbuko la hivi vitoto ni baba zao,wanarithi kazi za mama zao aminini nawaambia
 
Mitandao na maisha ya kuiga....hawa maslay Queen wanaoigiza maisha mitandaoni wanafanya watoto waone kufanya kunalipa, kwamba K inaweza kukupa maisha mazuri.....kumbe ni ujinga tu
 
Wanaume wenye tamaa ya ngono hilo ndio chanzo.

Bidhaa ipo sababu ya uhitaji.
 
Back
Top Bottom